mapenzi

una uhakika umegundua penzi la kweli au umepata anayekuonea huruma kwasasa kumbuka badae anaweza akawa na vmsg kama huyu wa kwanza sijui utagundua tena penzi la kweli au utakuja kutuambiaje tulia lea watoto wako

mapenzi mi wala siyaelewi naona kama yananichanganya. Unaishi na mtu ulikuwa unampenda lakini kutokana na visg vyake unaacha kumpenda na unabaki kama m2 tu. Halafu unagundua unapenzi la kweli mahali na huwezi kulikosa hapo hapo lile ambalo halina tija unalilinda ili lisivunjike eti kwa sababu nna watoto na mmejenga. Kama ni wewe uko kwenye hali hi unafanyaje?
 
mapenzi mi wala siyaelewi naona kama yananichanganya. Unaishi na mtu ulikuwa unampenda lakini kutokana na visg vyake unaacha kumpenda na unabaki kama m2 tu. Halafu unagundua unapenzi la kweli mahali na huwezi kulikosa hapo hapo lile ambalo halina tija unalilinda ili lisivunjike eti kwa sababu nna watoto na mmejenga. Kama ni wewe uko kwenye hali hi unafanyaje?

acha kupaka mafuta umala*** wewe! siku zote mpaka unaolewa/oa hujajua kama huyo siyo penzi la kweli?
 
hee pole,
mie nakushauri kula kote kote...:embarrassed::embarrassed:
usimuache huyo uliyezaa naye wala usimuache..huyo mpenzi mpya...:redfaces:
 
Namana kabeza..............kwanza nikukaribishe jukwaani pili nikiushauri kaa chini piga picha miaka 20 mbele ; ukijiona bado unao huomsimamo basi endelea na uyafanyayo! La huna basi sahau na upige magotimuombemungu akusamehe!
 
Wa2 wote wangekuwa wanawashauri kama ndibalema sidhani kama ingewekwa jamii forum, asante masikini jeuri kwa ushauri wako naanzia hapo. Chaula nakujali nipe muda narudi kwako soon
 
Namana kabeza..............kwanza nikukaribishe jukwaani pili nikiushauri kaa chini piga picha miaka 20 mbele ; ukijiona bado unao huomsimamo basi endelea na uyafanyayo! La huna basi sahau na upige magotimuombemungu akusamehe!
thanks kaka mkubwa kwa ushauri uliosimama
 
Kutojuwa yaliyosemwa Hapa ndo Kunawafanya Wengi Wenu Muanze Kulalama.

EVERY relationship has a cycle. In the beginning,
you fell in love with your spouse. You
anticipated their call, wanted their touch, and
liked their idiosyncrasies.

Falling in love with your spouse wasn't hard. In
fact, it was a completely spontaneous
experience. You didn't have to DO anything.
That's why it's called "falling" in love - because
it's happening TO YOU.

People in love sometimes say, "I was swept off my
feet." Think about the imagery of that
expression. It implies that you were just
standing there; doing nothing, and then something
came along and happened TO YOU.

Falling in love is easy. It's a passive and
spontaneous experience.

But after a few years of marriage, the euphoria
of love fades. It's the natural cycle of EVERY
relationship. Slowly but surely, phone calls
img-photo-08.jpg

become a bother (if they come at all), touch is
not always welcome (when it happens), and your
spouse's idiosyncrasies, instead of being cute,
drive you nuts.

The symptoms of this stage vary with every
relationship, but if you think about your
marriage, you will notice a dramatic difference
between the initial stage when you were in love
and a much duller or even angry subsequent stage.

At this point, you and/or your spouse might start
asking, "Did I marry the right person?" And as
you and your spouse reflect on the euphoria of
the love you once had, you may begin to desire
that experience with someone else. This is when
marriages breakdown. People blame their spouse
for their unhappiness and look outside their
marriage for fulfillment.

Extramarital fulfillment comes in all shapes and
sizes. Infidelity is the most obvious. But
sometimes people turn to work, church, a hobby, a
friendship, excessive TV, or abusive substances.

But the answer to this dilemma does NOT lie
outside your marriage. It lies within it.

I'm not saying that you couldn't fall in love
with someone else. You could. And TEMPORARILY
you'd feel better. But you'd be in the same
situation a few years later. Because (listen
carefully) THE KEY TO SUCCEEDING IN
MARRIAGE IS NOT FINDING THE RIGHT PERSON; IT'S
LEARNING TO LOVE THE PERSON YOU FOUND.

img-photo-15.jpg

SUSTAINING love is not a passive or spontaneous
experience. It'll NEVER just happen to you. You
can't "find" LASTING love. You have to "make" it
day in and day out. That's why we have the
expression "the labor of love." Because it takes
time, effort, and energy. And most importantly,
it takes WISDOM.

Usione kuna mtu huko Nje labda anakupenda Ukadhani Anakupenda Kweli, Anakutaka maana anajuwa haitamugharimu kama atakuwa anapata huduma Ukiwa kwa mumeo. Leo hii huyo mume wako Akuache Uende kwa huyo unakoona Roho yako Inadundia kama kwa huyo mwanaume Itakuwa Raha Mstarehe siku zote. Ndo hivyo dada, Shikamana na uliye naye kote huko Kuchungu. Yawezekana na
huyo Unayemwona kama anajali naye ana mke/GF naye nalalama kama wewe. Funga Mkanda, Mwombe Mungu amdadilishe huyo Shemeji maisha ni mstarehe tu. ''Usindanganyike'' HakuanUpendo Huko Nje bali tamaa za mda ambazo hazikupi raha ya milele kama Unayoweza kuipata kwa mumeo mkilitengeneza Penzi Lenu. Kama una hamu ya Kutoka Uko Nje Jaribu kama hari haitakuwa mbaya zaidi kuliko Mwanzo.
 
huyu anataka mali ndo maana anakaa kulinda penzi kwa sababu kuna mali, hilo siyo penzi la kweli ila kiini hapo ni mali. Nitafute tuwasiliane sawa!?
 
Back
Top Bottom