Mapenzi

hali ni ngumu jamani..wengine wanaongea ivo ivo wanachanganya na kiswahili humo humo..sasa hapo tunajenga taifa ambalo halijui kiswahili wala kingereza!

habari za hang'over lakini (offtopic)

Mie wala sikugusa kabisaaaaaaaa
 
Wakubwa sasa mmedivert from the topic kabisa! Ila mnanifurahisha..
Ndugu mtoa mada (Mabina), tafadhali fafanua na unyambue mnyambiliko wa shida yako tupate kukudadavua!
 
kwa hiyo ile konyagi haikuwa na alkoholi?

Mweee Geoff sikuwa nakunywa konyagi wajameni unajua kuna watu wengine hawapendi wadada wanywe pombe sasa unaniharibia soko hivi hivi ukisema kuhusu konyagi watadhani mie nimo sana kumbe wala hamna kitu
Samahanini wakuu tuko offtopiki kidogo
 
hahahahaha!shaka ondoa.kuna mtu serious nitakuunganisha nae!atakuchukua jumla jumla
 
mweee geoff sikuwa nakunywa konyagi wajameni unajua kuna watu wengine hawapendi wadada wanywe pombe sasa unaniharibia soko hivi hivi ukisema kuhusu konyagi watadhani mie nimo sana kumbe wala hamna kitu
samahanini wakuu tuko offtopiki kidogo
noted.
 
Jamani Hebu tuitazame na hii!!!!!!!!
Kuna demu mmoja sijui anapepo la ngono?
One day nilimuaproach akasema yuko single, after a short of time I DISCOVERED she has a BOYFRIEND, then after she dated with a TEACHER whom was EXAMINING 4m four Exams. How shall I do?
Mkuu mimi nikikushauri hapa nitakuwa kama najibu swali la kipima joto la ndiyo, hapana, sijui...........ila majibu unayo mwenyewe mkuu
 
H… Healthy, Hopeful, Humble, Humorous, Hummus eater

A … Appreciative, Approachable, Activist for global peace & justice

P … Peaceful, positive, …

P … Passionate, practical, …

Y… Youthful, yummy, …
 
Jamani Hebu tuitazame na hii!!!!!!!!
Kuna demu mmoja sijui anapepo la ngono?
One day nilimuaproach akasema yuko single, after a short of time I DISCOVERED she has a BOYFRIEND, then after she dated with a TEACHER whom was EXAMINING 4m four Exams. How shall I do?

Next time u better put it in Swahili...
 
Mweee Geoff sikuwa nakunywa konyagi wajameni unajua kuna watu wengine hawapendi wadada wanywe pombe sasa unaniharibia soko hivi hivi ukisema kuhusu konyagi watadhani mie nimo sana kumbe wala hamna kitu
Samahanini wakuu tuko offtopiki kidogo

wewe kumbe ni mdada? mbona thread zako zinatuchanganya,mara unasema dume mara mchuchu,vipi tena?
 
Hapa sijui kama nimekuelewa vizuri. Unauliza How shall I do ama
what should I do?....Kama ni 'how' basi gongo gogo usikize mlio kisha
kula kona. Kama ni 'what' basi achana nae.

...ha ha, eti gonga gogo usikilize mlio :D...
mara 'ndiiii'- CD4 zinaanza kupungua!
 
Back
Top Bottom