Whaaaaaaaaaaaaaatttttttt!!!!!!
afu unamwona anavyojichekesha chekesha kwa wanamme?
Mchukue mkeo.
you cant handle her ....lol
she is too much for average Joe...
Wewe umeona swali nililoulizwa lilikuwa la maana? Uliza swali bovu upate jibu bovu. Babu yangu alinifundisha!
you cant handle her ....lol
she is too much for average Joe...
Nani anajichekesha, ka sio huyo Boss wako. Sasa sexlife yangu mimi yamuhusu nini!
Mtasubiri mpaka Yesu atarudi!
Unalala bafuni leo.
Nakukimbiza na ufagio kama tangazo tigo.
jamani kuanzia leo mimi nasema mapenzi basi. nimemkuta mpenzi wangu akiliwa denda na mjomba wangu.
umri wa mjomba wangu ni 14yrs na wa mpnz wangu mimi ni 22yrs.
Baelezee! I am a changed person; thanks to u my love!