!!!!!!!Mapenzi!!!!!!!

addicted to wasiwasi..mmh!

Hapana, utakuwa makini usiingie hovyo hovyo kwenye mahusiano.

kila kitu kinakuwa imara kutokana na msingi, we utakuwa umeshaimarisha msingi wako wa kutokuamini daima.

wazee watu wazima wanawasaliti wake zao kwa kutembea na vitoto vidogo! Haya ndo mapenzi?

Wamama watu wazima wanawaweka vijana wadogo ndani wakidai damu moto! Sasa haya ndo mapenzi?

hahahaha! First born hili lisredi lisije likawa la fre style. Lol.
B2T: Mapenzi hayatabiriki. Yupi mkweli yupi muongo huwezi kujua. Kikubwa kama unahisi moyo wako umempenda flani, mpende bila kuhofu kutendwa. Hizi hofu tunazozijenga ndio huwa chanzo kikubwa cha usaliti maana tunapenda robo robo tukihofia kutendwa.
This is well said, japokuwa duh, ukitendwa hapo it costs a lot in your life.

Similar Discussions

Back
Top Bottom