!!!!!!!Mapenzi!!!!!!!

wasiwasi unakuwepo ila ni bora kuwa na wasiwasi kabla hujaingia kwenye mahusiano (itakufanya uwe makini ) kuliko unakuwa na wasiwasi wakati tayari upo ndani ya mahusiano.

sasa ukiwa na wasiwasi kabla ya mahusiano huoni kama utakuwa addicted?

sasa ukiwa na wasiwasi kabla ya mahusiano huoni kama utakuwa addicted?

addicted to wasiwasi..mmh!
Hapana, utakuwa makini usiingie hovyo hovyo kwenye mahusiano.

Similar Discussions

Back
Top Bottom