!!!!!!!Mapenzi!!!!!!!

First Born

JF-Expert Member
Jul 11, 2011
5,310
1,473
Yapo complicated
Atakuja kukuambia anakupenda lakini hayuko serious
Atakuja kukuambia anakupenda
yuko serious
mh! Utawatofautishaje?

mwingine kakubaliwa, anajitosa jumla mwisho wa siku analizwa!! Mh! Kwa nini?
alishindwa kugundua mapema kuwa kapendwa kwa ajili ya sababu

Mapenzi wivu, mwingine hajali
Mapenzi kinyongo, utakaposaliti

mh! Nifanyeje?

Mapenzi, hata teenager nae anataka awe na fataki, mmbabu!!

Nisipende? Mh ngumu!!

Nitakuwa najidanganya!!

OK NIMEAMUA, NIMEPENDWA KWELI, NIMEPENDWA KWA SABABU LAKINI MIMI NIKIPENDA NAPENDA ILI SIKU NIKICHUKIA NICHUKIE HASWA!!

Hapo kwenye kinyongo acha tu. Mpaka utibu majereha yaishe kuna gharama

yule mkubwa, yule mdogo..,

Maneno ya Jide hayo.

hahahaha! First born hili lisredi lisije likawa la fre style. Lol.
B2T: Mapenzi hayatabiriki. Yupi mkweli yupi muongo huwezi kujua. Kikubwa kama unahisi moyo wako umempenda flani, mpende bila kuhofu kutendwa. Hizi hofu tunazozijenga ndio huwa chanzo kikubwa cha usaliti maana tunapenda robo robo tukihofia kutendwa.

maisha ni karata kuakupata na kukosa,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,ukikosa jaribu tena...................................a game of chance? You can say that again...............................

sema sema first born.mapenzi yanaleta furaha,unajihisi umeshiba hata kama hujala kitu,yanaleta huzuni,yanaleta ugonjwa ambao huwezi jua unaumwa nini,yanakufanya ujihisi wewe ni wewe tu,ila ikila kwako unajihisi why me

once you say it again, she betrays you more.

Mapenzi matamu kwa anaejua kupendwa,au anaejua nini thamani ya penzi,lakini ukimpenda aliekua keshatendwa na akiwa na visent kidogo ndio utasikia WIZI MTUPU, hata kama unampenda kweli hamini.

hahahaha! First born hili lisredi lisije likawa la fre style. Lol.

B2T: Mapenzi hayatabiriki. Yupi mkweli yupi muongo huwezi kujua. Kikubwa kama unahisi moyo wako umempenda flani, mpende bila kuhofu kutendwa. Hizi hofu tunazozijenga ndio huwa chanzo kikubwa cha usaliti maana tunapenda robo robo tukihofia kutendwa.

Lakini ukweli si unabakia palepale kuwa hatuwezi kuacha kuwa na wasiwasi.

sema sema first born.mapenzi yanaleta furaha,unajihisi umeshiba hata kama hujala kitu,yanaleta huzuni,yanaleta ugonjwa ambao huwezi jua unaumwa nini,yanakufanya ujihisi wewe ni wewe tu,ila ikila kwako unajihisi why me

mapenzi husababisha vidonda vya tumbo hata kama unakula!
Unapata bp hata kama we mwembamba!!
Yanabadilisha watu dini!
Yanafanya watu kutengwa na ndugu zao!! Mhhh!

Lakini ukweli si unabakia palepale kuwa hatuwezi kuacha kuwa na wasiwasi.

wasiwasi unakuwepo ila ni bora kuwa na wasiwasi kabla hujaingia kwenye mahusiano (itakufanya uwe makini ) kuliko unakuwa na wasiwasi wakati tayari upo ndani ya mahusiano.

Similar Discussions

Back
Top Bottom