Mapenzi yapo kweli?

Bones

Member
Apr 1, 2011
17
0
Nashndwa kuamini kama kweli ananipenda,
siku ambayo simu yangu haipatikani huwa nina kesi kubwa ya kujibu lakin mm ninapokuta call waiting tena saa8 ucku naambia ni rafiki tu tena wa jinsia tofauti!
Mbaya zaid anasema kama mtu anampenda aende kwao nami bado nasoma,
pia kaniambia J'3 kuna wazee wa jamaa anaedai anamsumbua wanaenda kujitambulisha kwa wazee wa huyo demu!
Kuna mengi ya ajab yanayofanyka,
nisaidieni kwan nampenda sana!
 
Ukipenda penda tu usitake kumbadilisha mtu eti kwa kuwa unampenda. Sasa ulichompendea ni nini? Sura? Umbo? Tabia? Mali? Ubabe?

Kumbuka kama huyawezi alionayo hapo hakuna penzi.
Namjuwa mtu anaempenda Mkewe, anamruhusu mpaka kupigwa bakora nje, naye aah, akirudi ndio anafua kufuli. Huyo ndio anapenda. Kwanza ujuwe mapenzi ni nini. Kabla hujafikiri kuwa unapenda.
 
Man give her a break. wewe endelea na masomo yako. She seems to be so demanding such a person will confuse you. You still have a long way to go. Take a bull by its horns for now. Uwezo huna wa kubadili uamuzi wake kama ameamuwa kuolewa. Huyo anakutafutia sababu kwa vile anajua uko too weak kwake kimapenzi na pia lazima kuna dalili ambazo anakuonyesha lakini kwa vile unampenda basi uko kama vile huoni.
Sasa basi wewe punguza mawasiliano kwake make your self busy. Baada ya muda kidogo pia ataona umebadilika ghafla. Hapo hata ikitokea kwamba anaolewa haitokusumbua sana. Ila sio mwaminifu kwako.
 
Nashndwa kuamini kama kweli ananipenda,
siku ambayo simu yangu haipatikani huwa nina kesi kubwa ya kujibu lakin mm ninapokuta call waiting tena saa8 ucku naambia ni rafiki tu tena wa jinsia tofauti!
Mbaya zaid anasema kama mtu anampenda aende kwao nami bado nasoma,
pia kaniambia J'3 kuna wazee wa jamaa anaedai anamsumbua wanaenda kujitambulisha kwa wazee wa huyo demu!
Kuna mengi ya ajab yanayofanyka,
nisaidieni kwan nampenda sana!

Pole sana,
Naona umeandika huku umepanic kiasi kwamba mada yako kama vile haieleweki sana.
Kama nimeelewa vizuri inaonesha wewe ni mvulana mwanafunzi na unampenda msichana ambaye yuko nyumbani, na inaonesha huyo msichana tayari ana mahusiano na mtu mwingine kiasi kwamba wazazi wanaenda kujitambulisha..
Ni tukio la kuumiza sana kwa mtu unayempenda. Pole sana.

Ila ningependa wewe mwenyewe ujiulize, kama kweli anakupenda kwanini anendeleze mahusiano ya nje (yaani asibaki na wewe tu)?
Nakushauri ujaribu kumuomba Mungu akusaidie, angalau kwa sasa ujaribu kumpotezea. Huwezi kumng'ang'ania mtu ambaye hakupendi. Wewe unaonekana kama ni 'option' kwake.
Hata akikukubalia sasa hivi, ishara anayokuonesha ni mbaya kwa mapenzi yenu.
Kwa sasa jikite kwenye masomo. Wapo wengi hapa duniani. Tenga muda wa kutosha ujiponye moyo wako. Hauko peke yako kwenye machungu kama haya. ni mapito tu. Kuna aliyeandaliwa kwa ajili yako. Kwa hiyo muondoke tu kwenye akili yako. Kama ni kwa ajili yako atarudi tu (sidhani kama itatokea).
 
sometimes huwa tunapenda sana
kwa sababu hatujipendi wenyewe vya kutosha....
tuna copensate ,tunatafuta wa kutu validate.....

jifunze kujipenda mwenyewe kwanza....
 
Pole sana kaka cha kufanya muombe Mungu akupatie ubavu wako ambaye mtapendana kwa dhati, inaonesha kwamba unampenda ila yeye anampenda m2 mwingine.Jipange kwa masomo yako.
 
Hold kidogo uzingatie Masomo kwanza

Ahsante sana ila kwa level niliyopo naweza hata kuwa na mke na ndio maana nahtaji mwenza ingawa sijui ni wapi nitampata mwenye mapenzi ya kweli!
Hata hivyo nashukuru kwa ushauri wako.
 
Bones

Stop being a cry baby , just man up and have a discussion with her.Try to find out what exactly she wants/needs and you also let her know what you want as well as your expectation out of all of this. You can start by asking her...Honey/sweety/mamaa/ baby, or whatever your choice of words is, and say "How come when I dont pick up your call right away we end up fighting and all that, wakati zangu sometimes hujibu?"

Relationships may not be as hard if only pple involved are open, honest and not afraid. It's about managing each other's expectations you know!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom