Mapenzi yamenipoteza!

Sasa mdogo wangu wawili tu umekata tamaa be strong!. Unajua ulipoanza mahusiano ya mwanzo ulikuwa bado Sekondari mara nyingi mahusiano hayo ni machache mno yanayozaa ndoa so you are not exceptional. Mara ya pili wakati unaanza Chuo sasa huyo akaolewa hapa pia ni suala la boyfriend na girlfriend ukumbuke bado ulikuwa Chuo ndio unaanza ungehitaji miaka takriban umalize Chuo kisha uanze kazi ukijajiimarisha ndio UOE sasa si rahisi kwa kina dada kusubiri miaka yote hiyo ingawa wapo wachache na pia hana uhakika na wewe kama utatimiza ahadi sasa anapojitokeza mtu serious kutaka kuoa wengi hukubali hasa kutokana na ushawishi ndani ya familia.

Ushauri wangu: Mahusiano yaliyopita yachukulie kuwa yalikuwa ya utoto. Pili hiyo kitu (ponyeto) achana nayo sio suluhisho kwani baadae utataka uwe na familia na hiyo akisaidii. Tatu jipange kwa ajili ya ndoa kisha tafuta mchumba kwa mujibu wa vigezo vyako. Nafikiri haya yatakusaidia.

Ushauri mzuri sana, naimani wengi sana utawasaidia na kuwatia moyo...
 
we endelea kujipuruchuaaa huku ukitafuta mwenzi taratibu..ila kam abado upo chuo pig abuku wasikuzingue hao viumbe...hii ikufanye uwe mkomavu wa akili na mwili...relation sio legelege na uwe nayo when ur serious!!

ilo suala la nyeto achana na hao waosha vinywa hamna ambaye hajawahi au haendelei kuifanya..jinsia zote wanafanya...!!fanya kwa kiasi...maana utajaenda konabaa bure ule urojo tupoteze nguvu kazi na kodi zetu.no!!
 
Shida yako moja tu, unakaa na mademu na huoi,,,jipange ukimpata tangaza ndoa na fanya kweli fasta, vinginevyo kila siku utakuwa unanyanganywa na washkaji wanaoa
 
Wazuri bado hawajazaliwa... Tuliza MOYO.... Acha kupiga PULI,,,, Utampata wa kufanana na wewe...
 
Wanajf nimekuwa sijihusishi na mapenzi kwa muda wa miaka saba sasa,si kwa kupenda ila kutokana na machungu niliyo yapata.kwanza mpenzi wangu wa kwanza niliahidiana kufika naye mbali kimahusiano nilipoenda a-level nikakuta ameabort mimba ya mtu mwingine akanichiti nami nikashit.nilipata wa pili nikiwa naenda chuo tukaahidiana kuoana and ofcoarse tulipendana sana but alinipigia cm anaolewa na akaomba radhi kwa hilo.alternatively napiga musterbt ndio nimepotea or what the hell is this?iloved those girls!

Hapo kwenye bold hapo, ivi unayakumbuka matapishi ya nini? Hee, wenzio tulitendwa tukasahau matapishi, now tunakula bata na wapenzi wanaojua kupenda na tunajiuliza tulichelewa wapi siku zote na yale MATAPISHI? Forget about hao wadada, na soon utampata mpenzi wa kweli.
 
Hakunaga girl wa ukweli now wote ni vigeu geu tu.
Ndo mana wadau wengi huwa wanawamega tu.

Mim mwenyewe na hasira nao sana tena wakae na wanipitie mbali kabisaaaaaa.

Nyeto haina dili mkuu utakuja pata girl wa ukweli na mwaminifu na ukashindwa kupiga mechi kunako samweli sita.

Hapo kwny RED naona kama vile umemchanganya?
 
Daaaah ckupatii picha jibaba ukiwa unajiChuaaaGa... Kama ng'ombe anakamuliwa maziwa vile, a very fine handwork...
 
Sasa mdogo wangu wawili tu umekata tamaa be strong!. Unajua ulipoanza mahusiano ya mwanzo ulikuwa bado Sekondari mara nyingi mahusiano hayo ni machache mno yanayozaa ndoa so you are not exceptional. Mara ya pili wakati unaanza Chuo sasa huyo akaolewa hapa pia ni suala la boyfriend na girlfriend ukumbuke bado ulikuwa Chuo ndio unaanza ungehitaji miaka takriban umalize Chuo kisha uanze kazi ukijajiimarisha ndio UOE sasa si rahisi kwa kina dada kusubiri miaka yote hiyo ingawa wapo wachache na pia hana uhakika na wewe kama utatimiza ahadi sasa anapojitokeza mtu serious kutaka kuoa wengi hukubali hasa kutokana na ushawishi ndani ya familia.

Ushauri wangu: Mahusiano yaliyopita yachukulie kuwa yalikuwa ya utoto. Pili hiyo kitu (ponyeto) achana nayo sio suluhisho kwani baadae utataka uwe na familia na hiyo akisaidii. Tatu jipange kwa ajili ya ndoa kisha tafuta mchumba kwa mujibu wa vigezo vyako. Nafikiri haya yatakusaidia.

Ushauri wako mzuri sana mkuu!
 
Back
Top Bottom