Mapenzi yamenikata hamu

Joeli

JF-Expert Member
Apr 25, 2011
4,941
3,402
uwa nikisikia au kona watu eti wanaoa au wanatangaza ndoa, uwa najiuliza mara kumi kumi ivi wanajua wanachofanya, hii inatokana na experience yangu na hawa viumbe, especially my last 3 failed relationships zimenifanya single kwa muda ambao haujulikani, huyu mmoja nilimpenda sana na alinishawishi niamni ananipenda hivyo hivyo, nilivyomaliza chuo nikaambiwa jamaa wanajitwalia mzigo, sikuamini mpaka aliponipa live, nikakaa muda kisha nikapata mwingine ambaye mwanzo mambo yalikuwa poa ila baada ya muda mambo yakawa mhh wivu kupita kiasi, hataki nipigiwe na wadada, sms zangu anataka azisome zote, akaunti yangu ya fesibuku akachukua password na kugombana na mdada yoyote anayeniinbox, nikashindwa nikapiga chini.

Now sioni sababu ya kuwa kwenye long commited relationship. i prefer casual relationships, one night stands etc. swali langu kwa wanaooa; nini wanakipata kwenye ndoa, kama kila kitu kinaweza patikana nje ya ndoa? watoto, ngono n.k.
 
hujampata mnayeclick ukimpata utataka usettle naye,kwa sasa hivi endelea na ujana umri ukisogea kidogo utaanza kushawishika kumtafuta mtu mtakayeleana mpaka uzeeni.:sleepy:
 
uwa nikisikia au kona watu eti wanaoa au wanatangaza ndoa, uwa najiuliza mara kumi kumi ivi wanajua wanachofanya, hii inatokana na experience yangu na hawa viumbe, especially my last 3 failed relationships zimenifanya single kwa muda ambao haujulikani, huyu mmoja nilimpenda sana na alinishawishi niamni ananipenda hivyo hivyo, nilivyomaliza chuo nikaambiwa jamaa wanajitwalia mzigo, sikuamini mpaka aliponipa live, nikakaa muda kisha nikapata mwingine ambaye mwanzo mambo yalikuwa poa ila baada ya muda mambo yakawa mhh wivu kupita kiasi, hataki nipigiwe na wadada, sms zangu anataka azisome zote, akaunti yangu ya fesibuku akachukua password na kugombana na mdada yoyote anayeniinbox, nikashindwa nikapiga chini. now sioni sababu ya kuwa kwenye long commited relationship. i prefer casual relationships, one night stands etc. swali langu kwa wanaooa; nini wanakipata kwenye ndoa, kama kila kitu kinaweza patikana nje ya ndoa? watoto, ngono n.k.

Wewe ulipatikana nje au ndani ya ndoa?
 
hujampata mnayeclick ukimpata utataka usettle naye,kwa sasa hivi endelea na ujana umri ukisogea kidogo utaanza kushawishika kumtafuta mtu mtakayeleana mpaka uzeeni.:sleepy:
labda atatokea, ila kwa sasa naona bora kula tu nakusepa...sitaki long term contracts
 
makubwa haya, kweli tz bila ukimwi haiwezekani, na matangazo yooooote hayo ya mitandao ya ngono bado, badili tabia, halaf kuwa makini na uchaguz wako, siyo wanawake wote wana matatzo uliyoyaexperience kwa hao watatu,
 
pole ila naona hukua na bahati nao na inategemea mlikutania wapi...omba sana mungu atakupatia wako mtakayeendana kwa kila kitu
 
Wanatafuta the opposite of what you get outside. Exactly The opposite of what you went through...
 
pole kaka.... unajua kwanza itabidi na wewe ujiulize wat is it abt u that keeps attracting not so marriage material ladies?
 
Ni wewe tu unavyochukulia mahusiano yako. kwanza huyo wa pili ndio alikuwa chaguo lako ungejitahidi ku tengeneza trust sanasana na angekuja kuacha tabia ya kunusanusa habari zako, pili kwenye ndoa hata mie nawaza the same ila kwa kuwa kama unafata dini sana mwisho wa siku utataka uhalilishe ili hata kwenye imani yako uwe hutendi dhambi
 
Mmmh nimeshindwa nianzie wapi, ngoja tu nikae kimya maana .......
 
Nikweli vyote vipatikanavyo ndani ya ndoa waweza vipata
nje ya ndoa. Lakini umri ukisonga utakapoanza kukosa wa kutoka nao
utajuta. Tulizana! short term relationships zinakuza mtandao wa ngono.
 
Yaani we umekaa kidhanifu kweli!Jiulze kwanza we wazazi wko walkupata ndan au nje ya ndoa?Pili, je Mungu alikosea kuweka dhana ya 'ndoa?Umefanya juhud gan kujenga penz endlev b4 hujaamua hvo?Jichungze vzur, ucje kimblia USHOGA bure!
 
To be honesty, uwa najitahidi kumezea vitu vidogovidogo, hakuna kitu ambacho sikipendi ktk uhusiano kama wakati wa kuachana uwa nawaza vyote nilivyopoteza kwa muda wote nakuwa sitamani kuwa na uhusiano mwingine
 
ukitaka kujua utamu wa ngoma ingia uicheze la sivyo uta-theorize mpaka uzeeke
 
Back
Top Bottom