Mapenzi yameisha ama?????

Kaka Kimbweka mwenzio wife wangu hapendi kupiga pasi kabisaa miaka yote 8 ya ndoa mie ndo nampigia pasi kila tunapotaka kwenda kwenye mishe mishe. nisipokuwepo yeye hupigiwa pasi na HG wetu. mimi sipendi kupigiwa pasi na HG but kuna vitu huwa napaswa kuvifanya mimi lkn yeye huvifanya kwa moyo mmoja. so mkuu usikariri sana kwamba wife lazima akupigie pasi, na yeye mpe nafasi achague nini anaweza fanya kwa moyo. Mfano mdogo tu mimi hupiga deki room kwetu, kufuta vumbi, kufua kufuli zetu wawili (PANTS), kupiga pasi, kutandika kitanda. Mwenzangu yeye anakipaji cha ku bargain so mimi huitwa tu wakati wa kuangalia na kulipia nyumba pale tunapotafuta house ya ku rent, hii kazi ya kutafuta house yeye huifanya na anaiweza kwa sana tuu labda kwa vile ni mtoto wa kichaga so anajua pesa inatafutwaje. Kwa ujumla ukimtuma kazi anaifanya vile unavyotaka ifanyike. Mimi ndo main bread winner yeye anafanya biashara ya kawaida tuu. Mkuu jitahidi sana kumsoma wife wako uwezo wake upo wapi mpe nafasi , sometimes si mapenzi yamepungua ila wapi uwezo wake upoo, na kuwepo na kusaidiana sometimes ule ubaba tuuondoe kidogo, ukimpa nafasi nadhani smile lile la UCHUMBA litarudi tena
...Wanaume wengi wa kiswahili tunapenda sana kufanyiwa mambo mengi na wanawake/wake zetu. Nadhani tumewageuza kama mashine za kuja kutufanyia kazi na once mambo yakienda kinyume na matarajio yetu ndio hayaaa mara mapenzi yamekwisha, mara lazima atakuwa kapata bwana mwingine ili mradi maneno kibao. Lakini huyu jamaa angejaribu kukaa na mkewe na wakakubaliana nani afanye nini. Yako mambo ya msingi ambayo lazima mwanamke ayafanye...punguzeni umangi meza!!:A S 100:
 
wewe ulitakiwa uwe muhindi kabisa maana wao wake zao kazi ni kuzaaa mpaka kizazi kiishiwe nguvu ambapo kutambua hilo ni kuzaliwa mlemavu wa akili au viungo na hawafanyi shughuli nyingine zozote " nenda kaoe muhindi mkuu"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom