Mapenzi yameisha ama?????

Ndo hapo mnapokosea wewe nimekuoa uje ufanye nn kwenye nyumba yangu?
Ukizingatia mm ndo kichwa cha familia gharama zote na gharamia mm pamoja na kukuhifadhi wewe sa nipeleke huku kufanya nn wkt wewe upo upo tu?

eti? Lord have mercy on u!....unanihifadhi nimekuwa furuushi la mtumba?
 
bahati mbaya sana cna hgal, na hata ningekuwa nae cwezi kuishi kwa hofu eti kisa hgal atafanya hiki na kile, kutojiamni huko, najiamini sana aisee, siruhusu hofu initalawe, na ananiheshimu pia, angefanya yote lakini kwa hgal hafiki kama ningekuwa nae huyo hgal.

Endelea kuwa na imani hiyo hiyo :becky::becky: siku utakapo ambiwa HG wako kajenga nyumba ndo utang'amuka :becky: kalaga baho:becky:
 
Mfano mdogo tu mimi hupiga deki room kwetu, kufuta vumbi, kufua kufuli zetu wawili (PANTS), kupiga pasi, kutandika kitanda

Mhhhhhh, Hapooo!!!!!!!!!!!!

Mkuu lengo langu kuu la KUOA mke si kupata mtumishi wa kunifulia/kudeki au kufanya chaos za nyumbani, nilioa kwa mapenzi, na ninaishi na mpenzi wangu ambaye ktk mafundisho ya dini yangu yeye ni sehemu ya mwili wangu(UBAVU WANGU) na Biblia imeandikwa ukimchukia mkeo ni sawa na kuuchukia mwili wako au kutoupenda mwili wako mwenyewe, na imeandikwa kabisa hiyo bi siri kubwa sana. Nadhani ndoa yako itakuwa ngumu sana coz unategemea ukioa basi WIFE wako awe km HG, akufanyie kila kitu wewe ukae eti kisa BABA. Sikubaliani na watu wenye fikra km zako, ndio maana ndoa zenu zinakuwa NGUMU sana. Mie bado naishi na wife wangu km tupo kwenye uchumba, yaani very simple ku maintain ndoa yenye upendo, jitume tu utaona mafanikio yake lkn kama unashinda na washkaji kijiweni/Bar ukategemea NDOA yako idumu basi wewe kushnei.
 
Hahahaha hizi ndoa ngoja tuwaachie wenye nazo mm kwangu lazima shughuli zote za nyumbani ufanye mwanamke

pole yako, nako kusaidia ni wito pia sio kwamba anashikiwa bastola amlishe mtoto, so kama wewe huna huo wito ni kwamba huna na hautakaa uwe nao.....hapo mie ndipo ninapompendeaga mr, mambo kama hayo kwake ni ya kawaida kabisa, anapika na watch tv....
 
Ndo hapo mnapokosea wewe nimekuoa uje ufanye nn kwenye nyumba yangu?
Ukizingatia mm ndo kichwa cha familia gharama zote na gharamia mm pamoja na kukuhifadhi wewe sa nipeleke huku kufanya nn wkt wewe upo upo tu?

tumerudi kule kule? fanya hiyo kwenye bold uone kama hujafanyiwa kila kitu. Mnajidai kuzunguka zunguka lakini tunarudi kule kule ili uwe mwanaume kamili lazima ufanye hayo ndio uanze kuleta udume wako otherwise tusaidiane na kazi za nyumbani kama gharama tunasaidiana
 
Mkuu lengo langu kuu la KUOA mke si kupata mtumishi wa kunifulia/kudeki au kufanya chaos za nyumbani, nilioa kwa mapenzi, na ninaishi na mpenzi wangu ambaye ktk mafundisho ya dini yangu yeye ni sehemu ya mwili wangu(UBAVU WANGU) na Biblia imeandikwa ukimchukia mkeo ni sawa na kuuchukia mwili wako au kutoupenda mwili wako mwenyewe, na imeandikwa kabisa hiyo bi siri kubwa sana. Nadhani ndoa yako itakuwa ngumu sana coz unategemea ukioa basi WIFE wako awe km HG, akufanyie kila kitu wewe ukae eti kisa BABA. Sikubaliani na watu wenye fikra km zako, ndio maana ndoa zenu zinakuwa NGUMU sana. Mie bado naishi na wife wangu km tupo kwenye uchumba, yaani very simple ku maintain ndoa yenye upendo, jitume tu utaona mafanikio yake lkn kama unashinda na washkaji kijiweni/Bar ukategemea NDOA yako idumu basi wewe kushnei.

Hiyo hiyo bible imeandikwa " NITAKUFANYIA MSAIDIZI WA KUFANANA NAWE" Kwa hiyo mke ni msaidizi, Kama mme ameamka asubuhi na mapema kwenda kukamua maziwa, kulisha ngombe na mengineyo kwa nini asisaidie kupiga pasi:crutch:
 
Mkuu lengo langu kuu la KUOA mke si kupata mtumishi wa kunifulia/kudeki au kufanya chaos za nyumbani, nilioa kwa mapenzi, na ninaishi na mpenzi wangu ambaye ktk mafundisho ya dini yangu yeye ni sehemu ya mwili wangu(UBAVU WANGU) na Biblia imeandikwa ukimchukia mkeo ni sawa na kuuchukia mwili wako au kutoupenda mwili wako mwenyewe, na imeandikwa kabisa hiyo bi siri kubwa sana. Nadhani ndoa yako itakuwa ngumu sana coz unategemea ukioa basi WIFE wako awe km HG, akufanyie kila kitu wewe ukae eti kisa BABA. Sikubaliani na watu wenye fikra km zako, ndio maana ndoa zenu zinakuwa NGUMU sana. Mie bado naishi na wife wangu km tupo kwenye uchumba, yaani very simple ku maintain ndoa yenye upendo, jitume tu utaona mafanikio yake lkn kama unashinda na washkaji kijiweni/Bar ukategemea NDOA yako idumu basi wewe kushnei.

nyie ndio wanaume sasa, yani wanaume ndio nyie, na mpo wachache sana....hongera sana kaka nimekupenda ghafla.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom