Mapenzi yameisha ama?????

Ni utaratibu tu maana anaweza kmsaidia hata house girl kuosha vyombo usije ukashangaa:becky::becky::becky:
nikiwa mm na yy anaweza kunisaidia lakini housegirl tumemwajiri kwa kazi hiyo, nahisi kuna watu wanishi maisha yale ya babu zetu bado
 
c umpe wewe huna mikono? vitu vingine mbona ni uzembe unaopitiliza.

Ukimpa na mikono yako umetangaza vita sasa, heheheeee, Huongeleshwi na huyo HG yupo matatani!! Sasa ufanyeje:violin:
 
Lahaula Walakwata!!!!!!!!!, Ulimwengu waelekea wapi!!!!!, Babu yako akijua hayooo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

nyie ndio wale wale, amuwezi kujua raha tunayockia ambapo mume wangu anakusaidia hata kusafisha kijiko, yaani anaonyesha msaada fulani hapo nyumbani, ni kwa vile hamuelewi tu.
 
Nguvu zaidi hari zaidi kasi zaidi ampe HG nguo za mumewe apasi tatizo liko wapi! Kwa nini zake ampe HG za mumewe akatae ?:becky: hapo wala hujamfanya robot ni umemfanya malkia au siyo FL1:becky::becky::becky:

Muulize kwa nini anafanya hivyo??labda wewe ni mvivu hujishughulisha na jambo lolote home kwako ndo maana amekuachia kazi ya kujinyooshea ..angalau..
:becky:
 
Mfano mdogo tu mimi hupiga deki room kwetu, kufuta vumbi, kufua kufuli zetu wawili (PANTS), kupiga pasi, kutandika kitanda

Mhhhhhh, Hapooo!!!!!!!!!!!!
 
nikiwa mm na yy anaweza kunisaidia lakini housegirl tumemwajiri kwa kazi hiyo, nahisi kuna watu wanishi maisha yale ya babu zetu bado

Ya babu zetu ndiyo maisha haswaaaa! Natamani turudi huko:becky::becky:
 
Muulize kwa nini anafanya hivyo??labda wewe ni mvivu hujishughulisha na jambo lolote home kwako ndo maana amekuachia kazi ya kujinyooshea ..angalau..
:becky:

Kulisha ngombe, kuku, kukamua maziwa, kumwagilia bustani, kuosha gari n.k.... bado kuna uvivu hapo:violin:
 
Ya babu zetu ndiyo maisha haswaaaa! Natamani turudi huko:becky::becky:
ukimpata wa 60's anweza kufanya hayo bado, ila zama hizi ni za usawa! enzi zile kina mama hawakuwa na kazi zaidi ya kutunza familia ila siku hizi wote tumeajiriwa wote tunapata salary so tunatakiwa kuishi usawa
 
Hata wao walikuwa wanaishi kwa usawa sema wewe hujui na akili zako zimegeka kifikra:becky::becky::becky:
 
Unakuta mkeo anapigiwa pasi na HG nguo zake za kwenda kazini na mwanaume unajipigia pasi mwenyewe na ukimpa HG akupigie ni ugomvi na ukimwambia mkeo akupigie anakuambia anajisikia uchovu.... hapo ni mapenzi yamefifia/yameisha ama kuna jambo jengine wakulu.........

Hapo mapenzi kwishney omba likizo tu ukalinew penzi...
Na ukizingatia chakula chenyewe cha kula wewe ana andaa huyo huyo HG.
 
Hata wao walikuwa wanaishi kwa usawa sema wewe hujui na akili zako zimegeka kifikra:becky::becky::becky:
bora akili hizi zinanitosha, mi my mr wangu alinikuta na akili hizi sijazibadilisha na amezikubali.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom