Mapenzi yameisha ama?????

hivi mwanaume kupiga pasi nguo zake au hata kumsaidia mkewe zake kuna tatizo?....

Hakuna tatizo ni utaratibu tu:becky::becky::becky: na mazoea ya kuzoeshana:becky: mazoea au kawaida ni kama sheria vile:becky::becky:
 
Hapo kuna mkono wa mtu na mkeo ana jini linaloitwa mgomo baridi. Dawa yake ni kuvaa pete iliyotengenzwa na vito vinavyoitwa Mpeleke mama outing kidogo hasa kwenye dansi au kula nyama choma, mshikaki au hata beach. Usitafute mchawi nimeisha kuagulia. Kila la kheri.
 
Mbona hakuna tatizo mambo ya kawaida tu ila sema huwa tunatafsiri vibaya

hiyo ndio shida, mie cjui mwisho wangi wa kupac ni lini, anaijua kazi yake hiyo ni ya jmoc au jpili so anatenga muda wake wa kupac zangu na zake, ninachofanya ni kumchagulia nguo tu.
 
Hakuna tatizo ni utaratibu tu:becky::becky::becky: na mazoea ya kuzoeshana:becky: mazoea au kawaida ni kama sheria vile:becky::becky:

hee muwe mnajituma kidogo jamani kuwasaidia wenzenu shughuli za ndani, sasa kupac hata nguo zako hata kama alikuzoesha akabaadilika unashindwa kujipasia?...
 
kwanini acbadilishe? na kumlisha pia, wakati mwingine akijickia kupika anapika pia, mbona ni vijimambo tu vya kusaidiana.

Ni utaratibu tu maana anaweza kmsaidia hata house girl kuosha vyombo usije ukashangaa:becky::becky::becky:
 
hee muwe mnajituma kidogo jamani kuwasaidia wenzenu shughuli za ndani, sasa kupac hata nguo zako hata kama alikuzoesha akabaadilika unashindwa kujipasia?...

Si ampe na za mumewe HG apasi kama anavyopasiwa yeye :becky::becky::becky:
 
hiyo ndio shida, mie cjui mwisho wangi wa kupac ni lini, anaijua kazi yake hiyo ni ya jmoc au jpili so anatenga muda wake wa kupac zangu na zake, ninachofanya ni kumchagulia nguo tu.

Kuna rafiki yangu mtoto wake akikojoa alikuwa ananyanyuka mwenyewe na kwenda kumbadilisha mtoto nepi kulikuwa hakuna haja ya kuanza kuita "Weeeeee mama fulani njoo mbadilishe nepi.......kakojoa" sababu ni kitu cha dakika tatu tu na alikuwa anaona kawaida sasa wanawake waliokuwa wanakuja kumtembelea mke wake walikuwa wanamuadmire sana mshikaji na kumsifia jinsi anavyomsaidia mkewe kiasi kwamba mke akaanza kuingiwa na wasiwasi akaona hapa huyu mwanaume watu wanaweza kumtangazia nia then INFIDELITY ika take place.
 
Unakuta mkeo anapigiwa pasi na HG nguo zake za kwenda kazini na mwanaume unajipigia pasi mwenyewe na ukimpa HG akupigie ni ugomvi na ukimwambia mkeo akupigie anakuambia anajisikia uchovu.... hapo ni mapenzi yamefifia/yameisha ama kuna jambo jengine wakulu.........

Daah watu wengine mnapenda kulalamika..kwanini usikae chini na mkeo ukamwambia hayo mambo yasiyokufurahisha.
lakini pia kuna baadhi ya wanaume mnaona wanawake kama ma robbot .
Mwanamke huyo mnaondoka wote asubuhi kwenda kazini..
Aaamke akuwekee maji ya kuoga ,na yeye aoge ,akunyooshee nguo na zake pia ,akuandalie chai mezani ,wakati huo ajue watoto kama wapo anawaacha vip hapo home na H/G
Jioni mama huyo akifika home amechoka bado aendelee na majukumu ya mama nyumbani hapumziki na wajua kabisa wote mlikuwa kazini wewe umekaa sitting room unasoma news /unasubiri maji ya kuoga ,chakula, na Nk Nk yeye busyyyyyyyyyyyyy..kama vile hakwenda kazini ..:confused2:
 
Nguvu zaidi hari zaidi kasi zaidi ampe HG nguo za mumewe apasi tatizo liko wapi! Kwa nini zake ampe HG za mumewe akatae ?:becky: hapo wala hujamfanya robot ni umemfanya malkia au siyo FL1:becky::becky::becky:
 
Kuna rafiki yangu mtoto wake akikojoa alikuwa ananyanyuka mwenyewe na kwenda kumbadilisha mtoto nepi kulikuwa hakuna haja ya kuanza kuita "Weeeeee mama fulani njoo mbadilishe nepi.......kakojoa" sababu ni kitu cha dakika tatu tu na alikuwa anaona kawaida sasa wanawake waliokuwa wanakuja kumtembelea mke wake walikuwa wanamuadmire sana mshikaji na kumsifia jinsi anavyomsaidia mkewe kiasi kwamba mke akaanza kuingiwa na wasiwasi akaona hapa huyu mwanaume watu wanaweza kumtangazia nia then INFIDELITY ika take place.

ndivyo inavyotakiwa sema bac tu hii jamii yetu, kama kwasasa mie watoto wapo skul, bac nafanya tu kumwambia leo cjickii kupika fanya fanya maarifa ya choma huko utokako, anaweza akasema sawa, anaweza akasema yeye anahamu na kitu fulani ngoja nije nipike mwenyewe....maisha yanasonga...nahc wanaume wengi wa kisukuma wamelelewa hivi, nina frnd wangu nae mumemsukuma, mambo ya kazi za ndani humwambii kitu, kaka zangu hawa wakina Asprin ndio kashehse, nilisemaga ctaolewa na kabila langu kabisa, nashukuru imekuwa hivyo.
 
Kaka Kimbweka mwenzio wife wangu hapendi kupiga pasi kabisaa miaka yote 8 ya ndoa mie ndo nampigia pasi kila tunapotaka kwenda kwenye mishe mishe. nisipokuwepo yeye hupigiwa pasi na HG wetu. mimi sipendi kupigiwa pasi na HG but kuna vitu huwa napaswa kuvifanya mimi lkn yeye huvifanya kwa moyo mmoja. so mkuu usikariri sana kwamba wife lazima akupigie pasi, na yeye mpe nafasi achague nini anaweza fanya kwa moyo. Mfano mdogo tu mimi hupiga deki room kwetu, kufuta vumbi, kufua kufuli zetu wawili (PANTS), kupiga pasi, kutandika kitanda. Mwenzangu yeye anakipaji cha ku bargain so mimi huitwa tu wakati wa kuangalia na kulipia nyumba pale tunapotafuta house ya ku rent, hii kazi ya kutafuta house yeye huifanya na anaiweza kwa sana tuu labda kwa vile ni mtoto wa kichaga so anajua pesa inatafutwaje. Kwa ujumla ukimtuma kazi anaifanya vile unavyotaka ifanyike. Mimi ndo main bread winner yeye anafanya biashara ya kawaida tuu. Mkuu jitahidi sana kumsoma wife wako uwezo wake upo wapi mpe nafasi , sometimes si mapenzi yamepungua ila wapi uwezo wake upoo, na kuwepo na kusaidiana sometimes ule ubaba tuuondoe kidogo, ukimpa nafasi nadhani smile lile la UCHUMBA litarudi tena

Lahaula Walakwata!!!!!!!!!, Ulimwengu waelekea wapi!!!!!, Babu yako akijua hayooo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Nguvu zaidi hari zaidi kasi zaidi ampe HG nguo za mumewe apasi tatizo liko wapi! Kwa nini zake ampe HG za mumewe akatae ?:becky: hapo wala hujamfanya robot ni umemfanya malkia au siyo FL1:becky::becky::becky:

c umpe wewe huna mikono? vitu vingine mbona ni uzembe unaopitiliza.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom