Prisoner 46664
JF-Expert Member
- Dec 18, 2010
- 1,948
- 1,237
jamani, tusipende kulaumu watu wengine kwa matatizo yetu.
Weakness ni zako mwenyewe, huna maamuzi yako as an individual, unafuata upepo sana.
Upepo 1:
mwanamke kukuhamisha nyumba na kuhamia usiyoweza kugharamikia bila athiri maisha yako.
upepo 2.
Mwanamke kujichomeka kwako bila wewe kuwa tayari, ni aje kama ungemwambia kaa kwako kwanza hadi nijipange.
Upepo 3.
Kufanya ngono zembe na kusema msichana asibebe mimba. Hii ni sawa na kupanda bangi na kutegemea uote mchicha.
Upepo 4.
Kuacha kazi bila kuwa na mkataba wa kazi mpya uliosainiwa na kukabidhiwa kwa mwajiri mpya. Hii ni taboo kwa walioajiriwa kufanya ulivyofanya.
Pole, usisingizie mapenzi, jiangalie upya wewe na maamuzi yako.
Dah!nimeipenda hii analysis dada yetu..sidhani kama kuna haja ya kuongeza neno..kweli kuna haja ya kushirikisha ubongo hata pale moyo unapojitoa kimbelembele..