mapenzi ya uongo yaumiza

chaming gal

New Member
Mar 15, 2012
1
0
jaman kila cku maisha yanabadilika upendo wa dhati umepungua watu wanatumia uongo kuliko ukweli kiukweli mapenzi ya uongo yanaumiza tena sana tujalibu kubadilika na haya maisha yanayo wapeleka watu waumizane
 
unaonaje tukianza na wewe ukatueleza umewezaje kubadilika ili tuige mfano huo mzuri
 
Local research inaonesha mapenzi yananoga zaidi kwa mbwembwe na uongo. But not too much!
 
wengine wakiambiwa ukweli mtupu wanaona kama wanadanganywa sasa inabidi uweke uwongo japo kiduchu sio sana kiduchuu...
 
flattery and deceit are the sweetest words to ears of a woman...sasa nadhani mpaka hapo unakuwa umeshaona umuhimu wa uwongo katika mapenzi
 
Uongo kwenye mapenzi ni lazima....sasa wamwambia mtu silali nakuota wewe, utaota vipi ikiwa hulali. Mbaya zaidi ni utapeli wa mapenzi thats kills!
 
Mapenzi ya uongo si mapenzi lakini uongo ndani ya mapenzi yakweli hauepukiki! Kwa vile dunia yetu ya siku hizi ina mambo mengi basi huu uongo lazima utakuwa mwingi.
 
Kama mapenzi sio uwongo, basi mwambie mtu wako kuhusu nani ulikuwa naye kabla yake!!
 
Uongo kwenye mapenzi ni lazima....sasa wamwambia mtu silali nakuota wewe, utaota vipi ikiwa hulali. Mbaya zaidi ni utapeli wa mapenzi thats kills!

SS kama ndo nakudei drim c nanogewa hadi clali? die drim=dream
 
Back
Top Bottom