Mapenzi ya siku hizi

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
92,227
113,583
Huu wimbo unahusika sana aisee daaaah!!

Last edited by a moderator:
Siku hizi kwa kudanganya, mvulana na msichana ishakuwa poa poa tu.

Hakunaga mapenzi yale ya kugandana, ni zama za kale.
 
karibu chama cha mabachelor ukinipenda 2namalizana leoleo 2....am a single girl.
 
NN ulimaliza michezo ya baba na mama 1997? Aisee, unahitaji refresher course na overhaul! Or else achana na dating games,kha!
 
NN ulimaliza michezo ya baba na mama 1997? Aisee, unahitaji refresher course na overhaul! Or else achana na dating games,kha!

Wewe unazungumzia house wakati mimi nazungumzia stupid mind games.

Halafu mwaka 1997 ulikuwa ushavunja ungo wewe?
 
There is nothing like 'stupid' mind games papaa! And they can be fun, hehehe!

Mie mtoto wa town, tulikuwa hatuvunji nyungo manake tunapikiwa bismat rice ama kitumbo,lol

Sounds like you are a seasoned professional....
 
NN kulikoni ukarusha hii post midnight? Siku zote post za kurusha usiku wa manane huwa zinasema mengi.
Wee @ phina wewe,kwa nini unakuwa hivo? Kwa niaba ya NNnitakwendea ujiji kwa kalumanzila.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom