mapenzi ya siku hizi kama simu za china................

Wanawake mkiambiwa ilivyokuwa, mnamning'iniza tu huyo jamaa! Mara sio ndio tabia yake huyo dada, mara hamjaona mapenzi hapo..... etc... Kwani huyo harakat amewaambia alikua anatafuta mapenzi kwake au ngono? Kimsingi kuna la kujifunza hapo.... wanawake mmekua cheap sana cku hizi! Mmoja amesema angalia sehemu unapokunywa.... Hata uwe sehemu ya hadhi sana, wanawake utakaowapata huko ni hadhi hiyo na watajirahisisha! Swali la msingi why that trend kwa wanawake cku hizi? Kwanini mjirahisishe that much?

If women are cheap siku hizi, I think men are the cheapest. Huwa mnajisikiaje mnapowatongoza wanawake ambao mnajua kabisa wako na watu wao? Huko si kujirajsisha? You need to have one of your own and feel proud that you have her. Matokeo yake mnajivunia eti "AKAMUAGA JAMAA YAKE, TUKAHAMIA KIWANJA KINGINE". Kabla hujala ushaliwa tayariiii, Both men and women are cheaper cos nahisi kila mmoja huwa anatafuta asichokuwa nacho. PERIOD! mumezidi kutulaumu wanawake while you are the ones who set the fake calls
 
Jana katika pitapita nikakutana na jamaa amekaa na binti mmoja sehemu ninapopata kinywaji
jamaa alipoenda toilet nikaomba namba kutoka kwa yule binti na mistari miwili ya kiutani
baada ya mazungumzo kidogo yule jamaa akarudi .Mi nikatulia nikasogea meza ya mbali ambapo yule
jamaa na yule binti hawawezi kuniona nikaanza kucharti na yule binti mwisho wa siku yule binti akamuaga
jamaa kwamba anawahi nyumbani tukahamia kiwanja kingine .

kweli penzi kama cm ya kichina laini nne....................

You must be crazy! ulivyomchukua ndiyo atakavyochukuliwa sasa sijui unafanya kitu gani.
 
Jana katika pitapita nikakutana na jamaa amekaa na binti mmoja sehemu ninapopata kinywaji
jamaa alipoenda toilet nikaomba namba kutoka kwa yule binti na mistari miwili ya kiutani
baada ya mazungumzo kidogo yule jamaa akarudi .Mi nikatulia nikasogea meza ya mbali ambapo yule
jamaa na yule binti hawawezi kuniona nikaanza kucharti na yule binti mwisho wa siku yule binti akamuaga
jamaa kwamba anawahi nyumbani tukahamia kiwanja kingine .

kweli penzi kama cm ya kichina laini nne....................

weee kweli hamnazo
 
ukisikia sifa zakijinga ndio hizi, yaani mtu unajisifia kabisa kuopoa changu hadharani
 
nyote wawili hamna tofauti kabisa.Na wewe uliyesema nani anatumika kama chombo cha starehe umenifurahisha sana.Nikikujibu kwa angalizo hilo la upande wa starehe, ni kwamba wote wanatumiana na nashawishika kusema anayetumika zaidi ni mwanamme hilo halina ubishi. mtakwenda bar mwanamme yeye ndio atanunua bia na nyama choma au whatever and then mkienda hotelini atalipia gharama ya chumba.Baada ya hapo starehe mnapata wote na wakati mwingine mwanamke ajisikie raha zaidi.Baada ya shughuli mwanamme atoe hela ya asante, kamavile hiyo haitoshi atakupa hela ya tax au atachoma mafuta yake akurudishe kwako. Na ukumbuke sio mafuta tu, ametumia muda wake na nguvu zake pia kukudrive hadi kwako.NANI ATAKUWA AMETUMIKA ZAIDI?
 
Mimi naamini wanajf wote angalau wamefikia kiwango fulani cha elimu na ndo maana wako ktk mtandao huu makini.sasa wewe sijui kwanini shule haikukusaidia kureason kwamba heri usingepost mada hii kwani wasomi wenzako watakuona wewe pia ni kahaba tu la kiume usiyejua maana ya mapenzi.
 
unaona umelamba dume kumbe galasa,kahaba huyo anauza!!uko wapi kwani?kama ar basi itakuwa ulikuwa picnic au shivers!pole,umeumia
 
Jana katika pitapita nikakutana na jamaa amekaa na binti mmoja sehemu ninapopata kinywaji
jamaa alipoenda toilet nikaomba namba kutoka kwa yule binti na mistari miwili ya kiutani
baada ya mazungumzo kidogo yule jamaa akarudi .Mi nikatulia nikasogea meza ya mbali ambapo yule
jamaa na yule binti hawawezi kuniona nikaanza kucharti na yule binti mwisho wa siku yule binti akamuaga
jamaa kwamba anawahi nyumbani tukahamia kiwanja kingine .

kweli penzi kama cm ya kichina laini nne....................
Hata wewe atakufanya hivyo hivyo kama alivyomfanya jamaa,ningekuwa mimi nisingeandika hapa kujisifia kwa kuuchukua huyo changu,changu ni changu kaka anaangalia ATM kama inatoa ule mlio wa traaaaaaaa,
 
Wewe na huyo mwanamke akili zenu zimefanana. Kwanini ulimtongoza mtu wa mtu.
 
Back
Top Bottom