mapenzi ya siku hizi kama simu za china................

harakat

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
2,888
1,347
Jana katika pitapita nikakutana na jamaa amekaa na binti mmoja sehemu ninapopata kinywaji
jamaa alipoenda toilet nikaomba namba kutoka kwa yule binti na mistari miwili ya kiutani
baada ya mazungumzo kidogo yule jamaa akarudi .Mi nikatulia nikasogea meza ya mbali ambapo yule
jamaa na yule binti hawawezi kuniona nikaanza kucharti na yule binti mwisho wa siku yule binti akamuaga
jamaa kwamba anawahi nyumbani tukahamia kiwanja kingine .

kweli penzi kama cm ya kichina laini nne....................
 
  1. Moja ni kwamba ulikua bar (inaonesha ni bar ambayo ina mabinti wengi hawajitambui); take note level ya bar huwa na level tofauti ya aina ya mabinti waendao hapo.
  2. Pili kulikua naamini kua kulikua na mabinti wengine zaidi ya hao, hivo sababu ni mtaalamu ulitomia uzoefu wako kuangalia kwa haraka yupi anaonekana aweza respond advances zako.
  3. Tatu ni kwamba yaonesha ni mda mrefu kweli ulikua unawafuatilia na ulisoma "viashiria" vya kuonesha kua ni the type binti ambae unampata kwa mara moja.
  4. Kuna uwezekano hata huyo jamaa yake ambae wee ndo unaona ni wake pia alikua anaiba...
Hivo basi naomba ni hitimishe kwa kusema sema ngono nje nje ni rahisi saana kupata; Maana hio story yoote sijaona wapi hasa kulikua na Mapenzi.
 
kungekuwa na forum nyingine ungekuta naye kapost kuhusu wewe kuwa siku hizi vijana kama wewe kilanini laini za kichina tu maana anaona mwenzake pale pale niko naye naye anapandia. Hivyo wewe na yeye wote ni wale wale tu. Sasa yote tisa kumi je ulikula mzigo mwanawane?
 
kwa hiyo mwenyewe ukajiona mjaaaaaaaanj eeeh?
Umevagaa changudoa mawindoni ukajua umepata loh

halafu na wewe mmmmmmmmh no comment utachukuaje demu hamjuani?
Umeokota ukaenda nae?
 
Unaweza kudhania umemkomoa huyo jamaa kumbe umejikomoa mwenyewe. Hujaeleza mlivyohamia bar nyingine nini kiliendelea. Ila ujue sifa ya machangudoa ni kusense kwa haraka sana uwezo wa kifedha wa mtu aliye naye. Huenda aligundua jamaa hana kitu so akahamishia majeshi kwako baada ya kugundua uko vizuri zaidi. Au hata unaweza kukuta jamaa aliyekuwa naye ni chambo tu wa kuwapatia wanaume kama wewe. Mjini kuna mambo mengi sana ndugu yangu na kila ukikiona kinaelea ujue kimeundwa...
 
Kwa kifupi na wewe ni wa aina hiyo hiyo ya huyo binti,so unapojieleza eleza pia namna na wewe ulivyokosa utulivu na busara kwa wapenzi wa wenzio,mwenyewe unajiona mjanja na kumuona huyo binti hajatulia kumbe wala hamtofautian!
Siku zote player hukutana na player mwenzie vile vile,nashukuru kwan hapo ngoma droo umempunguzia matatizo jamaa uliyemchulia!
 
Wanawake mkiambiwa ilivyokuwa, mnamning'iniza tu huyo jamaa! Mara sio ndio tabia yake huyo dada, mara hamjaona mapenzi hapo..... etc... Kwani huyo harakat amewaambia alikua anatafuta mapenzi kwake au ngono? Kimsingi kuna la kujifunza hapo.... wanawake mmekua cheap sana cku hizi! Mmoja amesema angalia sehemu unapokunywa.... Hata uwe sehemu ya hadhi sana, wanawake utakaowapata huko ni hadhi hiyo na watajirahisisha! Swali la msingi why that trend kwa wanawake cku hizi? Kwanini mjirahisishe that much?
 
kwa sababu na wanaume wanajirahisisha so tunawatumia
 
kwa iyo we mjanjaaa?sasa nani alikwambia changudoa ana mapenzi?

suala hapa mi sio mjanja nilikua natoa hiyo kitu ili watu wengine
wawe makini wakiwa na milupo wasijerusha ngumi sehemu
 
Unaweza kudhania umemkomoa huyo jamaa kumbe umejikomoa mwenyewe. Hujaeleza mlivyohamia bar nyingine nini kiliendelea. Ila ujue sifa ya machangudoa ni kusense kwa haraka sana uwezo wa kifedha wa mtu aliye naye. Huenda aligundua jamaa hana kitu so akahamishia majeshi kwako baada ya kugundua uko vizuri zaidi. Au hata unaweza kukuta jamaa aliyekuwa naye ni chambo tu wa kuwapatia wanaume kama wewe. Mjini kuna mambo mengi sana ndugu yangu na kila ukikiona kinaelea ujue kimeundwa...

kaka kama ulijua vile yaani hili suala la hapo ndipo unakuja kugundua kumbe anajiuyza ndo maana
inakua simple.............
 
Back
Top Bottom