Mapenzi ya online (Online dating)

mmenena wakuu, ila sijapata comment ya demu. wengi wa mtandaoni wana sababu zaidi ya mapenzi katika kujianika hewani. nadhani pia katika forum hii mtu aweza kupata kitu cha nguvu kwani lengo lake hasa hajalenga kutafuta mahusiano
 
em nipe mchongo wa mojawapo ya reliable social network ili nami niweze kupata kitu cha maana. sometime mtu unakuwa bize kiasi unashindwa kujichanganya physically
 
hahahahh, nicheke mie.Hivi mtu hadi unatafuta mpenzi mtandaoni inakuwaje? Huwezi kutongoza live au mdomo mzito?


Ndugu yangu inategemea huyo mwanamke utamuona saa ngapi wengine wanabeba box full time huyo mwanamke utamtongoza saa ngapi???
 
mmenena wakuu, ila sijapata comment ya demu. wengi wa mtandaoni wana sababu zaidi ya mapenzi katika kujianika hewani. nadhani pia katika forum hii mtu aweza kupata kitu cha nguvu kwani lengo lake hasa hajalenga kutafuta mahusiano


Mziwanda umeniacha sina mbavu mkuu......Duu sio mchezo mkuu lakini ndio hivyo kujikakamua tu maana wengine wanapigwa changa la macho.
 
Mtandaoni hakuna mapenzi, labda kama unataka mtu wa kucheza nae siyo kwa maisha ya baadae.


Mhh sidhani kama kuna ukweli hapa maana nimeona wengi wamefanikiwa......Usiwakatishe tamaaa ambao wameshafikia 95% wasije wakashindwa kuelewana!
 
kama hakuna mapenzi, why bado watu wanatembelea hii mitandao kwa ajili ya kutafuta wenza? nadhani pia inarahisisha kwa maana kuwa kila mmoja anajua nini kitakachoendelea, au sio
 
wa-tz watamu wewe, hasa wale wenye rangi ya maji ya kunde ambao Mungu aliwapendelea
 
suala katika hoja ni wanawake ambao wanapatikana online kuwa wazuri pamoja na kufaa kuwa wenza bora
 
All in all to find some if ur serious in the internet is not a better option.People are cheated,watch out
 
Back
Top Bottom