Mapenzi ya online (Online dating)

Raia Fulani

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
10,876
2,743
nimejaribu sana kutafuta mwenza kweny mtandao lakini nimegundua kuwa wanawake wengi wanaojinadi huko hawalipi kwa sana thats why wanajitoa online. wanaume nao hawapili? kuna sababu zaidi ya hiyo? mawazo yenu ni very crucial
 
Unapenda wanawake au wanaume wanaolipa kiasi gani? labda hao wa kwenye mitandao hawana pesa, jaribu maofisini na kwenye maeneo ya biashara kubwa kubwa, hao wanaweza kuwa na pesa za kulipa.
 
Funga safari nenda kijijini kaa kama mwezi hivi unaweza toka na kitu ndani ya box. (Joke)
Pengine mkuu vigezo vyako ndo viko specific, hebu ainisha unataka awe na vigezo gani ndipo waweza pewa mapendekezo.
 
Unapenda wanawake au wanaume wanaolipa kiasi gani? labda hao wa kwenye mitandao hawana pesa, jaribu maofisini na kwenye maeneo ya biashara kubwa kubwa, hao wanaweza kuwa na pesa za kulipa.

Mkuu Uwiano,
You must be joking kama haujoke then ulitoaka bongo miaka mingi sana iliyopita. Hiyo ndo misamiati ya sasa au misemo ya bongo.
 
Kwa nini utafute mwanamke kupitia mtandao ndugu? kwa maoni kama umeshindwa kabisa kupata kimwana huku mtaani then then sidhani kama unaweza kupata kitu unapenda huko mtandaoni!

BWT wewe unafanya kazi gani or unaishi mazingira yepi? pengine mazingira unayoishi hayakupi fursa ya kukutana na vimwana...so kwa mtaji huo mtandao unaweza kuwa your only option!
 
nimejaribu sana kutafuta mwenza kweny mtandao lakini nimegundua kuwa wanawake wengi wanaojinadi huko hawalipi kwa sana thats why wanajitoa online. wanaume nao hawapili? kuna sababu zaidi ya hiyo? mawazo yenu ni very crucial
Utakutana na majangili wewee, shauri yako.
 
nimejaribu sana kutafuta mwenza kweny mtandao lakini nimegundua kuwa wanawake wengi wanaojinadi huko hawalipi kwa sana thats why wanajitoa online. wanaume nao hawapili? kuna sababu zaidi ya hiyo? mawazo yenu ni very crucial

Sijakuelewa, unatafuta mwenza kwa mtandao lakini wengi hawalipi. Halafu unatuuliza wanaume nao hawalipi (hawapili)?.

Pia unatoa sababu kuwa unaona sababu ya kujitangaza ni kuwa hawalipi kwa sana, then unauliza kuna sababu zaidi ya hiyo?.

Kukusaidia, uzuri wa kitu uko kwa jicho la mtazamaji. Hivyo, unachokiona hakilipi kwa mwenzako tofauti. Pia kupitia mtandao kuna kudanganya mno, yawezekana picha isiwe ya mhusika.

Ushauri, kutafuta mwenza kunahitaji uangalifu, ama utafanya kosa kubwa sana katika maisha yako. Sijui uko wapi (si maanishi nataka jua uliko), lakini jaribu kuongea na wazee walio katika ndoa, upate ushauri wao.
 
Mademu wa mtandao kweli wengi hawalipi mazee..For more info labda mkihitaji wakuu..

Be blessed..
 
nimeshawahi vuta kitu ya nguvu kwenye mtandao, unajua kama wewe muda mwingi uko job, huwezi ona totoz , sasa njia yako mbadala ni mtandao. Wasikukatishe tamaa jaribu zaidi ya social networking 3 au nne halafu lete majibu hapa-Achana na hawa wa brick and mortar!
 
Mtandaoni? Ni kamari ofcourse inaweza kuchezwa ila watch out. Itakuwaje kama wewe ni mwanaume ambaye unatafuta mwanamke lakini ikatokea ukampata mtu mwanaume anayefurahi kuwa treated kama mwanamke. Mana hii dotcom generation wako akina aunts wa kiume na inawezekana nao wako mtandaoni kutafuta bahati zao mana mwenda bure sio sawasawa na mkaa bure
 
nimejaribu sana kutafuta mwenza kweny mtandao lakini nimegundua kuwa wanawake wengi wanaojinadi huko hawalipi kwa sana thats why wanajitoa online. wanaume nao hawapili? kuna sababu zaidi ya hiyo? mawazo yenu ni very crucial

Wewe unaonaje hilo swali lako limetulia au limekaaje???Au labda wewe unafikiria vipi???
 
nimejaribu sana kutafuta mwenza kweny mtandao lakini nimegundua kuwa wanawake wengi wanaojinadi huko hawalipi kwa sana thats why wanajitoa online. wanaume nao hawapili? kuna sababu zaidi ya hiyo? mawazo yenu ni very crucial

Mkuu hivi umekaa kabisa na kuweza kuandika swali kama hili??Kwanza wewe unajinsia mbili??Mbona hueleweki kabisa???Nadhani uliza upande mmoja na sema kwamba wewe mwanamke au mwanaume then utasaidiwa lakini swali lako ulilouliza hapo nadhani hamna atayeweza kukupa jibu kamili au jibu unalotaka wewe maana swali naona haliweki sense ya kueleweka......Pia wapo wanaofanikiwa online ila kuna wengine wameachika kwa waume zao then watu kama hao utawakuta kibao so angalia usijepigwa changa la macho tu ukamuona mwanamke mzuri kumbe hamna kitu be carefully kwa hilo tu!!
 
Mapenzi ya online mtaja pata "wataliano" wana mbili wale.......
 
nimejaribu sana kutafuta mwenza kweny mtandao lakini nimegundua kuwa wanawake wengi wanaojinadi huko hawalipi kwa sana thats why wanajitoa online. wanaume nao hawapili? kuna sababu zaidi ya hiyo? mawazo yenu ni very crucial

_InternetOnlineDating.jpg

...mapenzi ya online ni sawa na kununua punda kwenye mfuko wa karatasi!
 
nimejaribu sana kutafuta mwenza kweny mtandao lakini nimegundua kuwa wanawake wengi wanaojinadi huko hawalipi kwa sana thats why wanajitoa online. wanaume nao hawapili? kuna sababu zaidi ya hiyo? mawazo yenu ni very crucial

Ingia kwenye site za kulipia entry fee pound 46 for three month, uone totoz inawezekana umecheki site za bure
 
hahahahh, nicheke mie.Hivi mtu hadi unatafuta mpenzi mtandaoni inakuwaje? Huwezi kutongoza live au mdomo mzito?
 
nimeshawahi vuta kitu ya nguvu kwenye mtandao, unajua kama wewe muda mwingi uko job, huwezi ona totoz , sasa njia yako mbadala ni mtandao. Wasikukatishe tamaa jaribu zaidi ya social networking 3 au nne halafu lete majibu hapa-Achana na hawa wa brick and mortar!

aaah mzee! sentensi hapo juu inaonekana ulivuta then ukaachia baada ya kujisevia! mwenzio anahitaji chombo cha parmanent huyu!

Mziwanda kwani shida ni nini muzee! mbona kwa mitaa wapo wengi tu wenye quality za maana! hata kama uko bize hebu jaribu kujihusisha kwenye masuala ya kijamii utawaona kibao tu.! wa mtandaoni wengi hawako serious na wanaishia tu kukutana na wataalam kama mzee hapo juu
 
Back
Top Bottom