chriss brown
JF-Expert Member
- Nov 3, 2011
- 292
- 63
Ni aibu kwa mwanaume kutukanwa na mwanamke,either jf au fb,tuachen mambo ya kumix madem jamani.Mpaka aibu...khaaa!,hata wasichana pia.kuja jamaa katukanwa,sijui kama atafuatilia tena.
Kumix mix watu ni ulimbukeni tu na tamaa!! Kutukanwa ndio dawa yao saaaafi....Ni aibu kwa mwanaume kutukanwa na mwanamke,either jf au fb,tuachen mambo ya kumix madem jamani.Mpaka aibu...khaaa!,hata wasichana pia.kuja jamaa katukanwa,sijui kama atafuatilia tena.
Hii thread haina afya hata kidogo, tujaribu kujipanga wakati tunataka kuanzisha thread, content ya habari yako ni lazima iwe na msisimko kumpa msomaji hamu ya kusoma kuliko kulipuwa lipuwa habari!
Hivi kama uhandishi wenyewe ndio utakuwa na uwezo wa kumuimbisha injili binti wa kike aliyekamilika akakuelewa?
umeelewa,ndiyo maana uka comment.ungepita tu.
chriss brown
Today 10:59
#5
Senior Member Array
Join Date : 3rd November 2011
Posts : 129
Rep Power : 233
Kumix mix watu ni ulimbukeni tu na tamaa!! Kutukanwa ndio dawa yao saaaafi....
Hii thread haina afya hata kidogo, tujaribu kujipanga wakati tunataka kuanzisha thread, content ya habari yako ni lazima iwe na msisimko kumpa msomaji hamu ya kusoma kuliko kulipuwa lipuwa habari!
Hivi kama uhandishi wenyewe ndio utakuwa na uwezo wa kumuimbisha injili binti wa kike aliyekamilika akakuelewa?
Mwingine anatukanwa but hakomi asee.
hujaelewa nini labda hapo?
Kwa vile wewe umeelewa, mweleweshe Matola,
Stress!! za nini kuhusu nini na nani? mimi niko kwenye mapumziko ya mwisho wa mwaka kwa raha zangu babeq everyday no more living hard.si kosa lako,stress tu hizo bwana matola
chriss brown
Today 10:59
#5
Senior Member Array
Join Date : 3rd November 2011
Posts : 129
Rep Power : 233