Mapenzi ya kweli.

tz1

JF-Expert Member
Mar 19, 2011
2,121
534
love.jpg
Vizazi vya dotcom oneni mapenzi ya likuwa zamani.
 
umenikumbusha mbali sana sana halafu sisi tulikua tunapeana hizi barua aidha kwene daftari au unamtuma darasa la pili au mnajifanya mnakwenda chooni on the way ndio mchezo unaishia huko. nilikua bingwa
 
Au unachora moyo kwenye mkono alafu unapita karibu na demu unamwonyesha.
 
umenikumbusha mbali sana sana halafu sisi tulikua tunapeana hizi barua aidha kwene daftari au unamtuma darasa la pili au mnajifanya mnakwenda chooni on the way ndio mchezo unaishia huko. nilikua bingwa
Ukimwona umpendae mbele yako unaangusha barua chini then yeye anaokota.
 
Umenikumbusha mbali sana mimi niliwahi muandikia barua nikiwa darasa la tatu nikampa pamoja na shilingi moja kwenye bahasha akanipigia usoni kwangu. Siku iliyofuata akaja kuomba nimpe ile barua.
 
mimi nilikuwa nina mwandiko mzuri sana, wadada walikuwa wanapanga foleni niwaandikie (na kizungu kilikuwa kinapanda, ha haaaaa)
 
Niliwahi kuweka barua kwenye deski la demu,akaichukua akampelekea mwalimu ni pigwa fito 10.
 
Back
Top Bottom