Mapenzi ya kweli ni yapi?

KAMJUS

Member
Mar 16, 2012
83
16
Jamani mapenzi ya kweli kwangu si kumtoa out umpendaye tu. Kwangu mie nadhani kama kupendana kwa nini mtoto wa kiume amtoe wa kike tu? Inanipa homa sana ninapomuona mmoja anafanya kila kitu na mwingine ni mpokeaji na wkt anao uwezo wa kujibrother sugarcane? Nishauri au siyo jamani
 
Hiyo ndo itikadi, mme kumtreat mke and same way goes when they are married, mme ni provider. Ukitaka othewise itakuwa ngumu and you will loose a credibility as man and differentiate between cha kikume and mwanaume.
Personally, I will only treat him if its his bday otherwise he should spend his money on me :msela::msela:
 
:msela::msela:
Napenda unavyo rusha miguu hapo.

@Thread; Acha kutilisha aibu wewe sasa unataka mke wako akulipie chakula.

Kama unaongelea wanawake amabao sio mke wako hapo lazima alipe yeye mpaa siku unamuoa :violin:
 
Napenda unavyo rusha miguu hapo.

@Thread; Acha kutilisha aibu wewe sasa unataka mke wako akulipie chakula.

Kama unaongelea wanawake amabao sio mke wako hapo lazima alipe yeye mpaa siku unamuoa :violin:

Kwa msingi huo unaweza pia kumkosa wa koa...
 
Kwa msingi huo unaweza pia kumkosa wa koa...
Nani kasema takosa wakuoa, nilisha pata wanamna hio wengi tu nawalilia niwaoe lakini sijawaoa...Nikaenda owa ambaye huwezi kuamini hata siku moja hajalilia nimtoe out, wala kuomba sijui nimnulie mkufu au bangiri, niloa yule ambaye nilipokuwa namuambia twende out anasema mpaa tukisha owana.

Hao wakwenda out niliwachia nyie mlio endelea :cool2:
 
Jamani mapenzi ya kweli kwangu si kumtoa out umpendaye tu. Kwangu mie nadhani kama kupendana kwa nini mtoto wa kiume amtoe wa kike tu? Inanipa homa sana ninapomuona mmoja anafanya kila kitu na mwingine ni mpokeaji na wkt anao uwezo wa kujibrother sugarcane? Nishauri au siyo jamani

huu ubahili huu....
haya tumekusikia.....tutakuwa tunakutoeni out......umefurahi..?
 
tatizo we bahili unavifikiria visent vyako.walionazo hawawazi upuuz km huo
 
hili ndio tatizo la pesa za mawazo......
mtoto mzuri anamtaka.....pesa hataki kutumia.....tutoe msaada gani hapa.......

si ndio hapo! Anapenda vizuri halafu hataki kugharamia. Hapo la kumsaidia ni kumshauri akatafute vijijini. Vya mjini aendelee kula kwa macho.
 
huu ubahili huu....
haya tumekusikia.....tutakuwa tunakutoeni out......umefurahi..?
Nyie mnajua nini mana ya ubakhili? bakhili ni yule mtu ambaye anajinyima yeye mwenyewe raha toka lini raha ikawa kero...Sijui uanze kubeba wanawake out ukawalishe, kero tupu....Kuna vyanaume vingine vikisha pata pesa kila mtu lazima ajue kama vinapesa, ndo unavikuta vinakimbilia kuwapeleka ma gf zao out, yule gf wake anakula weeee na kukutia demage, wengine labda wamekopa...Afu wanakuja watu walio mzidi akili wanamla yule gf wako bure kabisa bila hata yakutoa shiling moja mfukoni.

Yani mimi kumtomlisha mwanamke nje ambaye sio mke wako sioni kama ni u bakhili, naona ni akili tupu hapo.

Babu/baba zetu mbona hawajawatoa bibi/mama zetu out, nawaliishi maisha mazuri kuliko sisi :cool2:
 
Wengi ni 'Miss Independent' kwa jina tu mkuu,kwa hiyo unapaswa kujiandaa vizuri kabla ya kuwatoa out.Chako chao,Chao chao.
Ukilipia kila kitu ndio wanaona unachukulia majukumu yako kwa uzito.Matokeo yake wengi wananaswa kwa gear kuingia gharama ya kuwapeleka nice spots then unatimiza tamaa za mwili halafu unawaacha(huu mfano tu sio ushauri kwako and this aint my thing since i respect ladies)
Halafu baadae utasikia mara 'you broke my heart' mara 'you played me' wanasahau 'they broke your wallet'.
 
Hiyo ndo itikadi, mme kumtreat mke and same way goes when they are married, mme ni provider. Ukitaka othewise itakuwa ngumu and you will loose a credibility as man and differentiate between cha kikume and mwanaume.
Personally, I will only treat him if its his bday otherwise he should spend his money on me :msela::msela:

i like u...atleast u honest bana sio wanawake wanajidai indepwnt woman kumbe malungu yapopale pale
 
mfana no k for free........ yaani in one form or another utalipia k tuu....
 
jana nimetoka out na kicheche kimoja cha kitaa hapa acha kinywe nlitoka na 50 nikarudi home na kama buku 3 hivi ndani ya masaa machache. dudu ka lile sidhani ka nkiliomba lininunulie fegi ya mia litaweza.
 
Kawaida mkuu.Wanawake wa siku hizi ukimtoa out ndio anapata nafasi ya kujaribu/kuonja vinywaji na vyakula ambavyo hajawai kunywa na kula(anaviona kwenye matangazo ya kwenye runinga) matokeo yake wengine matumbo yanawakoroga au wanaishia kuzima kabisa.
 
Hiyo ndo itikadi, mme kumtreat mke and same way goes when they are married, mme ni provider. Ukitaka othewise itakuwa ngumu and you will loose a credibility as man and differentiate between cha kikume and mwanaume.
Personally, I will only treat him if its his bday otherwise he should spend his money on me :msela::msela:

so why did u waste all your time in beijing? why are u fighting for gender sensitive? why fight for equality if that is the case?
 
Back
Top Bottom