Kwanza lazima ujiulize, kobe yuko kwenye kundi gani la wanyama.
Amphibia? Reptile? Mamalia? Bird?
Afu rejea notisi za fomu wani topik ya classfication, soma characteristis zao.
unless unataka kujua matumizi ya chaja ya kobe?
He! Mwanzoni nilisoma vibaya nilifikiri mapenzi ya kakobe
Wadau 2mezoea kujua kuhusu binadamu kila cku! leo 2hame kdgo, swali langu kwenu je kobe (kasa) wanakutanaje kimaumbile?? ili hali wote wamejengewa nyumba wanatembea nayo! msaada kwenye hili wakuu!
Ukiisha zipata hizi taarifa wafikiri zitasaidiaje kuboresha mahusiano yetu?
He! Mwanzoni nilisoma vibaya nilifikiri mapenzi ya kakobe
Mapenzi ya kobe! Wanyama hawafanyi mapenzi wanajamiiana.
Ukiisha zipata hizi taarifa wafikiri zitasaidiaje kuboresha mahusiano yetu?
Tendo ni lile lile binadamu wanaingiliana na wanyama wanaingiliana ndo maana mzungu akaliita kwa jina moja tu sex
mmmmh!makubwa!haya mpe darsa!Kwanza lazima ujiulize, kobe yuko kwenye kundi gani la wanyama.
Amphibia? Reptile? Mamalia? Bird?
Afu rejea notisi za fomu wani topik ya classfication, soma characteristis zao.
unless unataka kujua matumizi ya chaja ya kobe?