We Know Next
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 814
- 380
Pinda mimi toka nazaliwa nimekuta hayo malalamiko ya madaktari, nadhani mnachokosea serikali mnadhani Tanzania hii ni ile ya miaka ya 74. Kwa kweli mmenoa.
Pinda alisema Dk Mponda mwenyewe anayelalamikiwa ndiyo kwanza ana mwaka mmoja na nusu kazini na hata madai mengine hayajui kwa kuwa hakuwepo wakati huo akisema shinikizo la kutaka awajibishwe ni kumuonea.
Sidhani kama huu ni utetezi kusema kuwa yeye ni mgeni wizarani hajui kinachoendelea
Kwani waziri aliyekuwepo aliondoka na mafile au documents za ofisi zote mpaka anayekuja anakuja kuanza upya kuandaa ya kwake
Tusitumie udhaifu wa mtu kusema kuwa eti yeye ni mgeni wizarani hajui lolote
Hata ukikabidhiwa wizara siku mbili na baada ya siku mbili mgomo ukaanza ina maana madai ya wanaogoma yalikuwepo wizarani muda na unatakiwa ujue kuwa kuna hilo
Au hawakabidhiani majukumu na taarifa za kazi kabla hawajaachiana ofisi
japo siungi mkono mgomo ila kwa hili sikubaliana kabisa
pinda alisema dk mponda mwenyewe anayelalamikiwa ndiyo kwanza ana mwaka mmoja na nusu kazini na hata madai mengine hayajui kwa kuwa hakuwepo wakati huo akisema shinikizo la kutaka awajibishwe ni kumuonea.
Sidhani kama huu ni utetezi kusema kuwa yeye ni mgeni wizarani hajui kinachoendelea
kwani waziri aliyekuwepo aliondoka na mafile au documents za ofisi zote mpaka anayekuja anakuja kuanza upya kuandaa ya kwake
tusitumie udhaifu wa mtu kusema kuwa eti yeye ni mgeni wizarani hajui lolote
hata ukikabidhiwa wizara siku mbili na baada ya siku mbili mgomo ukaanza ina maana madai ya wanaogoma yalikuwepo wizarani muda na unatakiwa ujue kuwa kuna hilo
au hawakabidhiani majukumu na taarifa za kazi kabla hawajaachiana ofisi
japo siungi mkono mgomo ila kwa hili sikubaliana kabisa
Kutokujua wizara sio excuses, ni uzembe na kichwa kigumu.
Kwani hana washauri?
labda atuambie waziri aliyeondoka (prof mwakusya) ni wa chama na serikali ingine
heri ya JK anayenyamaza kuliko Pinda anayeropoka.
Pinda alisema Dk Mponda mwenyewe anayelalamikiwa ndiyo kwanza ana mwaka mmoja na nusu kazini na hata madai mengine hayajui kwa kuwa hakuwepo wakati huo akisema shinikizo la kutaka awajibishwe ni kumuonea.
Sidhani kama huu ni utetezi kusema kuwa yeye ni mgeni wizarani hajui kinachoendelea
Kwani waziri aliyekuwepo aliondoka na mafile au documents za ofisi zote mpaka anayekuja anakuja kuanza upya kuandaa ya kwake
Tusitumie udhaifu wa mtu kusema kuwa eti yeye ni mgeni wizarani hajui lolote
Hata ukikabidhiwa wizara siku mbili na baada ya siku mbili mgomo ukaanza ina maana madai ya wanaogoma yalikuwepo wizarani muda na unatakiwa ujue kuwa kuna hilo
Au hawakabidhiani majukumu na taarifa za kazi kabla hawajaachiana ofisi
japo siungi mkono mgomo ila kwa hili sikubaliana kabisa
Hivi si Pinda aliyesema kwamba yeye anawasimamisha akina Nyoni na Mtasiwa halafu Rais atawachukulia hatua Mponda na Nkya? Sasa anavyotoa hayo majibu yeye amekuwa Rais? Hawa viongozi kwa kweli wanasikitisha sana
Aiseee! umeamka asubuhi hii ukaona leo usipoandika kitu JF siku kwako haitaisha! Please rethink harafu urudi tena kutetea hoja yako.