Mapenzi ya kibongo na kupeana maua..

Kwamex

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
378
96
Hivi kibongobongo wapenzi kupeana maua kama zawadi na anayepewa ua kuonyesha furaha to the maximum kwamba kairidhia hiyo zawadi kwa dhati huwa ni hisia za kweli toka moyoni au maigizo tu?, Utasikia "Ooh!, dear, thank you, jamanii" na pozi nyingine mbalimbali.

Kinachontatiza ni kukuta huyo anayepokea ua kwa mbwembwe nyumbani kwake/kwao hana interest kabisa na maua iwe kuyamwagilia maji au kuyahudumia kwa namna nyingine yoyote au angalau tu kujua nyumbani kwake/kwao kuna maua ya aina flani yanapatikana...Nawasilisha.
 
The one and only interest present ni mkwanja, mzawadie ili uwone kama furaha ni ya ukweli au anazuga, hayo mengine tunajilazimisha tu.

najua wapo wataokaobisha, "pretenders", ila ukweli ndio huo.
 
AAarg maua ni kuigiza tuuu, mpe mkwanja, chipsi mayai, mtoe out Samaki samaki, San ciro au mabaa yale ya sinza kesho sifa teleeeeeeeeeeee hahahahaha Bongo bana nzuri sana lkn CCM wameiharibuu
 
The one and only interest present ni mkwanja, mzawadie ili uwone kama furaha ni ya ukweli au anazuga, hayo mengine tunajilazimisha tu.najua wapo wataokaobisha, "pretenders", ila ukweli ndio huo.
Upo sahihi kabisa, maua ni maigizo tu.
 
naomba kuondoa shilingi! kuna wanawake wana hela zao pia, wanachohitaji ni upendo na appreciation! na isitoshe kuna watu (wanawake ama wanaume pia) wanapenda maua na wanajinunulia fresh flowers kupamba nyumba zao. muhimu ni ujue kama mpnzi wako anapenda kitu gani. hata hivyo kuna watu wamefundishwa ku-appreciate kila kitu wanachopewa na not to take anyone for granted! ndo maana hata kama ana hela zake, ukimletea chocolate ya tsh 1000/= ama hata kikombe tu chenye ramani ya tz atafurahia na kukithamini. sio kwa sababu ya gharama, ila ile nia tu ya kumfikiria inatosha!
The one and only interest present ni mkwanja, mzawadie ili uwone kama furaha ni ya ukweli au anazuga, hayo mengine tunajilazimisha tu.

najua wapo wataokaobisha, "pretenders", ila ukweli ndio huo.
 
Kwa kweli mie naona unaongea pumba tu.

Sasa tofauti ni nini na sema mtu kapewa kadi na yeye huwa hatoi akaifurahia utasema uliyoongea humu

Mchoshoooooooooo
 
The one and only interest present ni mkwanja, mzawadie ili uwone kama furaha ni ya ukweli au anazuga, hayo mengine tunajilazimisha tu.najua wapo wataokaobisha, "pretenders", ila ukweli ndio huo.
Naunga mkono hoja mia kwa mia ili kuwapunguzia wengine kazi ya kuanza kuuza zawadi walizopewa.
 
naomba kuondoa shilingi! kuna wanawake wana hela zao pia, wanachohitaji ni upendo na appreciation! na isitoshe kuna watu (wanawake ama wanaume pia) wanapenda maua na wanajinunulia fresh flowers kupamba nyumba zao. muhimu ni ujue kama mpnzi wako anapenda kitu gani. hata hivyo kuna watu wamefundishwa ku-appreciate kila kitu wanachopewa na not to take anyone for granted! ndo maana hata kama ana hela zake, ukimletea chocolate ya tsh 1000/= ama hata kikombe tu chenye ramani ya tz atafurahia na kukithamini. sio kwa sababu ya gharama, ila ile nia tu ya kumfikiria inatosha!

tatizo unaweza ukaletewa mauwa na bado usipendwe(danganya toto), bora upate danganya toto ya mkwanja kuliko mauwa, coz kwenye mkwanja hata ukigundua kwamba ilikuwa danganya toto na wewe unajipa moyo kwamba ulifaidi.
 
sasa ukiwaletea maua wafanyaje?wakatae?hebu waletee na vigunia vya mchele na vikapu vya samaki kwanzauone genuine feelings zao
Ha ha ha! Binafsi sio muumini wa mapenzi ya 'maua' ila hapo kwenye vigunia vya mchele kwa mjanja ataigiza vizuri kwa kutoa na machozi ya furaha maana anajua kazi yake itakuwa kutafuta 'frame' ya kufanyia biashara tu.
 
AAarg maua ni kuigiza tuuu, mpe mkwanja, chipsi mayai, mtoe out Samaki samaki, San ciro au mabaa yale ya sinza kesho sifa teleeeeeeeeeeee hahahahaha Bongo bana nzuri sana lkn CCM wameiharibuu
Kweli maigizo, cpati picha mpenzi wako anakuletea zawadi kuja kufungua unakuta kabendera ka CCM.
 
AAarg maua ni kuigiza tuuu, mpe mkwanja, chipsi mayai, mtoe out Samaki samaki, San ciro au mabaa yale ya sinza kesho sifa teleeeeeeeeeeee hahahahaha Bongo bana nzuri sana lkn CCM wameiharibuu

haaah haaah haaah dah u made my nyt lol
 
Kwa kweli mie naona unaongea pumba tu.Sasa tofauti ni nini na sema mtu kapewa kadi na yeye huwa hatoi akaifurahia utasema uliyoongea humuMchoshoooooooooo
Sijakusoma vizuri, ila kwa kadi ni kitu ambacho mtu alikizoea kukiona toka utotoni kwa kuona nyumbani kadi mbalimbali mfano X-mass, Eid n.k so haikuwa tabu kuappreciate kadi za mapenzi.
 
kudanganywa kupo tu wangu! tunadanganywa na ccm itakuwa wapenzi? ninachosemea mimi ni kuwa kuna watu wanapenda maua, sio lazma yawe ya bustanini lakini kuna watu indoor. kama ambavyo kuna mtu akiletewa sigara na mpenziwe anafurahi. sasa ukute anaependa kudanganyiwa na maua ww unamlazimisha kumkomelea hela uone wenzio walio creative watakavyokuzidi,lol (joking...)

Back
Top Bottom