AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,190
- 18,078
Yes, Mapenzi ya dhati does exist, lakini wengi wetu hatujui hilo kwani tumeweka vigezo vingine. Kikubwa ni kuwa lazima tuzikubali zile tofauti za kawaida baina yetu. Kwani hatutegemei kumpata mtu ambaye ni malaika au yuko 100% perfect. Kama wote wawili tutajua hili basi ni rahisi kila mmoja wetu kuonyesha mapungufu yake kwani anajua ipo nia ya kweli katika kukubaliana au kuoanisha hayo mapungufu katika maisha. Kama wote mtajifungua, basi hapo hakutokuwa na artificial life..itakuwa ni real life iwe mbaya, ya kawaida au nzuri..
.
Nilipoona the topic... na post yako... I was looking for this katika majibu yako... for believe me you bado hua sikuelewi... (utanisamehe.. for the topic inakugusa i think moja kwa moja.... i bliv you know what i mean...).. Na nilichokipata is the same opinion.... Dah! Sijui niseme una bahati au vipi...