Mapenzi ya dhati yakoje? Yanafananaje?

Labda kwangu hiyo dhati haijawah nitembelea. Lakin hata baadhi ya watu waliopo ktk mahusiano wamekua wakionekana kufurahia mapenzi yao kwa wakati then afta muda wamekua wakilizwa kwa kutendwa, hapo awali walideclare wote kwa pamoja kuwa wanamapendo ya dhati, sasa huku kulizwa ndio haswa kwanichanganya zaid! Ni kweli haya mapenz ya dhati yapo? Yanafananaje? Yakoje?

yapo mkuu, uwe na gari na tembo card....master card utayapata mpaka utayakimbia.

wadau wa jamvin, Mwenzenu nimekuwa nikisikia kwa wakati tofauti watu (wote wadada na wakaka) wakisema "namtaka mpenzi mwenye mapenzi ya dhati" Honest neno dhati mpaka sasa cjapata kuelewa maana halisi ya neno hili/ sielewi mapenzi haya yakoje. JE NI NINI TAFSIRI SAHII YA NENO "DHATI"? Tusaidiane!

D-H-A-T-I = Don't - HAve - To - Imitate Yaani maana yake Jamaa yako chochote anachofanya ni yeye na wala hakudanganyi, Kama anakupenda asilimia 10% basi ataonyesha asimilia hiyo 10% nawe ukiipenda basi powa..maisha mbele..

Kama anakupenda asilimia 90% basi atakuonyesha asilimia hizo 90% na hivyo umepata bingo..

Mapenzi ya dhati, ni vile unavojitoa kwa mwenzako, kumpenda kama alivyo bila kutegemea kitu chochote in return

Sawa gaga bt we unaamin mapenz ya namna hii hapa bongo yapo?

D-H-A-T-I = Don't - HAve - To - Imitate Yaani maana yake Jamaa yako chochote anachofanya ni yeye na wala hakudanganyi, Kama anakupenda asilimia 10% basi ataonyesha asimilia hiyo 10% nawe ukiipenda basi powa..maisha mbele..

Kama anakupenda asilimia 90% basi atakuonyesha asilimia hizo 90% na hivyo umepata bingo..

thanx 4 ur nice approach! do u think mapenz km haya yana exists? why vijana wengi wa kibongo hususana mabinti kila kukicha wanalia kwa kutendwa? Je ndio tuseme hakuna mapenz hayo ya dhati kwa hawa or?

Hizi hoja za kingono ngono mbona zinaelekea kuota mizizi sana hapa JF.What is happening with us.Tumefilisika kimawazo kweli kiasi hicho kwamba sasa tunawaza ngono tu.Katika hali hii tusilalamike kwamba nchi yetu inaporwa.Huu nao ni uovu tu kama kupora nchi.
wadau wa jamvin, Mwenzenu nimekuwa nikisikia kwa wakati tofauti watu (wote wadada na wakaka) wakisema "namtaka mpenzi mwenye mapenzi ya dhati" Honest neno dhati mpaka sasa cjapata kuelewa maana halisi ya neno hili/ sielewi mapenzi haya yakoje. JE NI NINI TAFSIRI SAHII YA NENO "DHATI"? Tusaidiane!

Hizi hoja za kingono ngono mbona zinaelekea kuota mizizi sana hapa JF.What is happening with us.Tumefilisika kimawazo kweli kiasi hicho kwamba sasa tunawaza ngono tu.Katika hali hii tusilalamike kwamba nchi yetu inaporwa.Huu nao ni uovu tu kama kupora nchi.

Fatilia mjadala vizuri USIKURUPUKE, mawazo ya ngono yapo kichwani mwako! PUNGUZA MACHEPELE MKUU! Don't be overruled with ur perceptions!

do u think mapenz km haya yana exists?

Yes, Mapenzi ya dhati does exist, lakini wengi wetu hatujui hilo kwani tumeweka vigezo vingine. Kikubwa ni kuwa lazima tuzikubali zile tofauti za kawaida baina yetu. Kwani hatutegemei kumpata mtu ambaye ni malaika au yuko 100% perfect. Kama wote wawili tutajua hili basi ni rahisi kila mmoja wetu kuonyesha mapungufu yake kwani anajua ipo nia ya kweli katika kukubaliana au kuoanisha hayo mapungufu katika maisha. Kama wote mtajifungua, basi hapo hakutokuwa na artificial life..itakuwa ni real life iwe mbaya, ya kawaida au nzuri..

why vijana wengi wa kibongo hususana mabinti kila kukicha wanalia kwa kutendwa?

Kwa sababu hawajijui au wanataka kufanya mazoezi na mapenzi au maisha kutokana na jinsi wanavyoona kwenye TV, magazeti au Movie. Mimi binafsi naamini ..Formula ya Maisha au mapenzi unatengeneza wewe mwenyewe..ila kwa bahati mbaya haina majaribio..Unatakiwa uamini kile unachofanya ni sahihi kama unavyotaka wewe na siyo Movie, TV au gazeti la uwazi.

Je ndio tuseme hakuna mapenz hayo ya dhati kwa hawa

Ukisoma hapo juu utaona mapenzi ya dhati hayaji kama mvua, unayatengeneza, tena sio peke yako bali vyote wawili.. mtoke kwenye artificial life na nyote muwe real bila kuogopa. Kama hutampata au kumkubali mtu ambaye ni yeye kama alivyo..basi hutompata 100% perfect partner hadi kiama..kwani wote watakuwa wana pretend life kwa manufaa fulani..

mapenzi ya dhati yapo. Tatizo ni tamaa za mda mfupi za kijinga jinga. Wapo wanaoshawishika kirahisi sana kusaliti wanaowapenda kwa dhati just because of umbali. Let's say mmoja wapo kasafiri kidogo, basi huku nyuma mwenzie anachojoa nguo.

Hizi hoja za kingono ngono mbona zinaelekea kuota mizizi sana hapa JF.What is happening with us.Tumefilisika kimawazo kweli kiasi hicho kwamba sasa tunawaza ngono tu.Katika hali hii tusilalamike kwamba nchi yetu inaporwa.Huu nao ni uovu tu kama kupora nchi.

ndio tatizo la ww mtoto kukimbilia hili jukwaa,umri wako bado bana, ona sasa hujui hata kinachozungumziwa!

Yes, Mapenzi ya dhati does exist, lakini wengi wetu hatujui hilo kwani tumeweka vigezo vingine. Kikubwa ni kuwa lazima tuzikubali zile tofauti za kawaida baina yetu. Kwani hatutegemei kumpata mtu ambaye ni malaika au yuko 100% perfect. Kama wote wawili tutajua hili basi ni rahisi kila mmoja wetu kuonyesha mapungufu yake kwani anajua ipo nia ya kweli katika kukubaliana au kuoanisha hayo mapungufu katika maisha. Kama wote mtajifungua, basi hapo hakutokuwa na artificial life..itakuwa ni real life iwe mbaya, ya kawaida au nzuri..

Kwa sababu hawajijui au wanataka kufanya mazoezi na mapenzi au maisha kutokana na jinsi wanavyoona kwenye TV, magazeti au Movie. Mimi binafsi naamini ..Formula ya Maisha au mapenzi unatengeneza wewe mwenyewe..ila kwa bahati mbaya haina majaribio..Unatakiwa uamini kile unachofanya ni sahihi kama unavyotaka wewe na siyo Movie, TV au gazeti la uwazi.

Ukisoma hapo juu utaona mapenzi ya dhati hayaji kama mvua, unayatengeneza, tena sio peke yako bali vyote wawili.. mtoke kwenye artificial life na nyote muwe real bila kuogopa. Kama hutampata au kumkubali mtu ambaye ni yeye kama alivyo..basi hutompata 100% perfect partner hadi kiama..kwani wote watakuwa wana pretend life kwa manufaa fulani..

Much Appreciation mkubwa! Umetulia, umechambua mambo vizuri tena kwa lugha nyepesi, fasaha yenye kueleweka kirahis kwa wote!

Nakubaliana nawe ktk mengi

1. Mapenzi ya dhati ni nadra kuyapata tena huwa ni kwa wachache sana.

2. Baadhi yetu (wengi) tuliopo ktk mapenzi hatujitambui then tuna expectation nyingi sana juu ya mapenz na wapenz wetu.

3. Maana ya penzi la dhati bado ni utata kwa wengi wetu. Wengi wanadhan udhati wa mapenzi ni kuigiza yale ya kwenye tamthilia za kigeni za mapenzi eg. Daniella, Second chance, The promise etc, tunachanganya udhati wa mapenzi na artificial life style ya wageni toka ulaya.

4. Uvumilivu,kukosoana na kuelekezana kati ya wapenzi bado n tatizo kubwa, mahusiano mengi huvunjika kwa kutokuelewana, kutokusilikizanana kudharauliana. Inabidi tukomeshe hii hali.

5. Umri na rika la watu waingiao ktk mahusiano ni tatizo kwa wengi, coz mapenz yamevamiwa na watoto wadogo wenye umri mdogo, hawa hawajapevuka kisawasawa, wengi wao huishia kutendwa na kuumizwa hvyo kupoteza udhati wa mapenz ya kweli.

Nb. Yapo mambo mengi, hayo ni baadhi.

wadau wa jamvin, Mwenzenu nimekuwa nikisikia kwa wakati tofauti watu (wote wadada na wakaka) wakisema "namtaka mpenzi mwenye mapenzi ya dhati" Honest neno dhati mpaka sasa cjapata kuelewa maana halisi ya neno hili/ sielewi mapenzi haya yakoje. JE NI NINI TAFSIRI SAHII YA NENO "DHATI"? Tusaidiane!

Naamini unajua maana ya neno dhati... Gagu Mapenzi ya dhati... yaaani yale ya dhati kabisa, maneno hayawezi tosheleza kueleza yakoje or inakuaje... You just have to be one of the lucky ones kupenda kwa dhati AU Kupendwa kwa dhati na ukaappreciate hayo mapenzi... ili uelewe kua mapenzi ya dhati ni kitu gani...

Back
Top Bottom