Mapenzi vyuoni

KICHUMVI

Senior Member
Aug 12, 2012
113
14
kama utakosa boom(mkopo) au umepangiwa chuo tofauti na girlfriend wako,hesabu imekula kwako
 
Jamani eeeh! Acheni kuzingua na vi thread vingine hivi visivyokuwa na tija. Aaaaaaargh!!
 
Mkuu umenena ukweli wa2 wanajaribu kuukwepa ukwli but that the reality lakin wasio na boom wajipange sie kwetu tunajiweza!
 
Mapenzi na shule hv ni fahari/sifa,msomi wa chuo kikuu mapenzi ni kipaumbele kweli tutafika? Loveaholics ukimwi ni halali yetu na umasikin wa mawazo tulionao.
 
Kwani mmeoana? mwache akaliwe kwani masomo yakimshinda wewe ndo utamsaidia?
halafu mapenzi ya Sekondari hayafiki Vyuoni mpaka kuoana mmalizapo Chuo
 
Mkuu umenena ukweli wa2 wanajaribu kuukwepa ukwli but that the reality lakin wasio na boom wajipange sie kwetu tunajiweza!

usione watu wako kimya humu ndani,wa2 nyumbani n pazuri kifedha lakini hiyo wa2 haiwahusu...kama mnajiweza ni huko kwenu unatangaza tangaza ili sisi i2saidie nini..!
 
Back
Top Bottom