Mapenzi Vs Urafiki, vinahusiana???

Kongosho

JF-Expert Member
Mar 21, 2011
35,999
24,163
nimejikuta najiuliza hivi urafiki na mapenzi vinahusiana?

Unaweza muomba mtu awe mpenzi, je unaweza omba mtu awe rafiki?

Au urafiki ni kitu kinakuja chenyewe tu kutokana na vionjo/tabia zenu?

Kuwa wapenzi lazima muwe marafiki?

Nimejikuta hata maana halisi ya urafiki inanichanganya.

Msaada hapa . . . . .
 
jamani Kongosho....hii mada nzuri ila muda huu mbaya......tushalewa sasa....
hii nzuri jumatatu bana.....
au basi kesho asubuhi...tutaichambua......
 
Last edited by a moderator:
katika hali ya kawaida, mapenzi yanapaswa ku-develop kama progression ya urafiki... but katika ulimwengu wa leo wa dot.com, usishangae kukuta mapenzi yana-develop from nowhere kwa style ya voda fasta...
 
Hebu jaribu kidogo
biya hazichakachui akili bana.

jamani Kongosho....hii mada nzuri ila muda huu mbaya......tushalewa sasa....
hii nzuri jumatatu bana.....
au basi kesho asubuhi...tutaichambua......
 
Last edited by a moderator:
hata kwa zamani bado ulikuwa unaweza kuta wapenzi lakini kuna mipaka fulani ambayo huwezi iona kati ya marafiki.

katika hali ya kawaida, mapenzi yanapaswa ku-develop kama progression ya urafiki... but katika ulimwengu wa leo wa dot.com, usishangae kukuta mapenzi yana-develop from nowhere kwa style ya voda fasta...
 
jamani Kongosho....hii mada nzuri ila muda huu mbaya......tushalewa sasa....
hii nzuri jumatatu bana.....
au basi kesho asubuhi...tutaichambua......

wa kunyumba bwana...hahaha,haya bwana mwezi bado mchanga (mshiko bado unaruhusu) hapa nshachakachuka mbege mie haaa...
 
nimejikuta najiuliza hivi urafiki na mapenzi vinahusiana?

Au urafiki ni kitu kinakuja chenyewe tu kutokana na vionjo/tabia zenu?

Kuwa wapenzi lazima muwe marafiki?.

mimi naamini kwamba urafiki unakuja kutokana na kuendana tabia au vitu mnavyovipenda then mnajikuta friends automatically. na pia ninaamini kwamba kuwa wapenzi ni lazima muwe marafiki ili kila mmoja awe huru na mwenzie. kama urafiki haupo kwenye mapenzi ndio hapo sasa unakuta mtu anakuwa huru zaidi kufunguka kwa rafiki kuliko kwa mpenziwe which i think is not gud. mpenzi wako anatakiwa kuwa your bestfriend!
 
wa kunyumba bwana...hahaha,haya bwana mwezi bado mchanga (mshiko bado unaruhusu) hapa nshachakachuka mbege mie haaa...

ni nini upotee hivyo mae.....yeuwomii.....habari za siku tele.....
ni kweli kabisa....na w/end ndio leo......chaa...maisha yenyewe yako wapi bana......

Mapenzi na urafiki vyote huja naturale. Tofauti yake ni urafiki kuna vitu

nje ya mlivyo vinavyowavutia na kuwaweka pamoja hali upenzi muonekano wenu wa nje unawa pull pamoja.
 
nimejikuta najiuliza hivi urafiki na mapenzi vinahusiana?

Unaweza muomba mtu awe mpenzi, je unaweza omba mtu awe rafiki?

Au urafiki ni kitu kinakuja chenyewe tu kutokana na vionjo/tabia zenu?

Kuwa wapenzi lazima muwe marafiki?

Nimejikuta hata maana halisi ya urafiki inanichanganya.

Msaada hapa . . . . .

Inawezekana kuwa marafiki bila kuwa wapenzi, BUT NOT IN AFRICA!
Kwetu jamíi haitawaelewa, na kutokana na presha ya marika plus mikasa ya mapenzi, mtajikuta mmeangukiana tu!
 
wanawake wa siku hizi hata mapenzi huombi, ukishampiga na bia mbili tatu tu basi wa kwako huyoo:wink2:
 
wapo wanaoweza kuwa marafiki, japo wachache ila wapo.

Nataka kujua maana, mwingilaiano au uhusiano kati ya urafiki na mapenzi.

Inawezekana kuwa marafiki bila kuwa wapenzi, BUT NOT IN AFRICA!
Kwetu jamíi haitawaelewa, na kutokana na presha ya marika plus mikasa ya mapenzi, mtajikuta mmeangukiana tu!
 
kwa uelewa wangu mdogo naona kama urafiki unatokea automaticaly, baada ya watu wawili kua na tabia au vitu vinavyofanana, na hauwezi kuombwa.

mapenzi yanaweza kutokea kwa njia 2. Either watu walio na tabia na interest zinazofanana au kutokua na interest zinazofanana.

mapenzi yanayoanzia kwenye urafiki yana chance kubwa sana ya kuwork out. Hii ni kwa sababu upendo unakua wa kirafiki zaidi ambao ni more strong than upendo wa kimapenzi.

tatizo ni kwamba ni vigumu kwa jinsia 2 tofauti kua na urafiki bila kuhusisha mapenzi.
 
pamt, nimekupata

hiyo ya jinsia 2 kuwa marafiki tu, hiyo haikuwa changamoto kwangu kwa swali hili.

Ila changamoto ilikuwa ni kujua urafiki vs mapenzi. Asante kwa mchango wako.
 
Last edited by a moderator:
@LD, waweza dadavua hapa pia.

Package ya urafiki ina nini? Na mapenzi ina nini?
 
Back
Top Bottom