Mapenzi oh!!!

Mar 2, 2012
65
2
Hv ktk relationship kuna ubaya gani ukimwita mpenzio, dear, mpenzi, honey sweetheart, kuna wengine hawapendi kabisa, cjajua nn tatizo.
 
We Mtu kama kweli unampenda utatamani kuijua hata harufu yake, yaani ukiisikia tu unajua kitu chako kiko around, sembuse namba??
Ni muhi8mu bwana coz you never know, weza ibiwa simu weye au ukajikuta kwenye situation ambayo huweziaccess simu na unahitaji msaada wake.
 
umemaliza yote. Thread closed!
 
We Mtu kama kweli unampenda utatamani kuijua hata harufu yake, yaani ukiisikia tu unajua kitu chako kiko around, sembuse namba??
Ni muhi8mu bwana coz you never know, weza ibiwa simu weye au ukajikuta kwenye situation ambayo huweziaccess simu na unahitaji msaada wake.
Naunga miguu hoja mia kwa mia..
 
Hv ktk relationship kuna ubaya gani ukimwita mpenzio, dear, mpenzi, honey sweetheart, kuna wengine hawapendi kabisa, cjajua nn tatizo.

Hakuna ubaya wowote, ila kila mtu ana preference zake. Kama hapendi kuitwa unaweza kumtengenezea mazingira ili ujue ni jina gani hasa anapenda kuitwa.
Wengine hufanya hivyo kwa sababu za kutokuwa waaminifu ktk mahusiano yao na hivyo kulitumia jina hilo lingeweza kumletea balaa mara awagonganishapo wapenzi wake.
 
Hv ktk relationship kuna ubaya gani ukimwita mpenzio, dear, mpenzi, honey sweetheart, kuna wengine hawapendi kabisa, cjajua nn tatizo.

Mtu kama huyo either ana wasichana wengi au wanaume wengi ,so kumwita hivyo utamwaribia!Have experienced this to da man who cheated on me.and i hate this man to death.
 
Marida, Msamehe mwenzio , Sisemi mrudiane nasema samehe maana unahutaji kusamehewa pia, na Pili Unabebe mzigo mzito usio na thamani kwako tena,

Fanya kama ilikua bahati mbaya maisha yasonge mbele
 
Never will i forgive him.coz he does not want to accept that he has done something wrong and bad to me..well,if maisha kusonga,nshasonga mbele kitambo.
 
Hv ktk relationship kuna ubaya gani ukimwita mpenzio, dear, mpenzi, honey sweetheart, kuna wengine hawapendi kabisa, cjajua nn tatizo.

mi sioni tatizo ila ukimchukia muite jina hilo hilo siyo..tena oohh MSENG***** WEWE wakati alikuwa akipandaa juu unaongeza redio sauti majirani wasisikie utamu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom