Mapenzi nomaaaa...haya tena wana ndoa..

Duh sijawah ona, hii imezidi. Mwanaume anayefanya hv jela haimtoshi. Adhabu yake anatakiwa anakatwa kipandekipande akiwa hai ili ayasikie maumivu na atambue jinsi gani mwenzie amepata maumiv.
 
very sad aisee! km kuna wengine humu jukwaani jirekebisheni,haya si mapenzi ila ni uonevu na unyanyasaji.
Kama mapenzi yenyewe ndiyo hivi, mimi nitakufa na bikira yangu. Sitoi kwa mwanaume yeyote ng'o!
 
Kama mapenzi yenyewe ndiyo hivi, mimi nitakufa na bikira yangu. Sitoi kwa mwanaume yeyote ng'o!

Jamani Binti.com hebu tuliongelee vizuri hili suala lako..PM me.
in other news, inawezekana huyo binti alivamiwa na majambazi....
 
Last edited by a moderator:
Yako wapi mapenzi yenu ya mara ya kwanza mlipokutana hadi mkaamua kufunga ndoa..halafu mwisho wa siku ni kukatana mapanga?jamani hii akili au?si bora muwe ma senior bachelor kama uwezi as ndoa nayo ni wito..unyanyasaji huu kwa wanawake haukubaliki kabisaaa bora muambiane ukweli na sio kukatana mapanga..huku jamiii kama kuna mtu anatabia ya kumchapa mkewe nae aache kabisa hii tabia najua hamkosi kina chacha mwita muraaaaa......

Kule wanakochoma makanisa wanasemaga Mke anauma sanaaaaaaaaa.
 
Back
Top Bottom