Mapenzi nomaaaa...haya tena wana ndoa..

JOYCE PAUL

JF-Expert Member
Jan 8, 2010
1,005
82
Yako wapi mapenzi yenu ya mara ya kwanza mlipokutana hadi mkaamua kufunga ndoa..halafu mwisho wa siku ni kukatana mapanga?jamani hii akili au?si bora muwe ma senior bachelor kama uwezi as ndoa nayo ni wito..unyanyasaji huu kwa wanawake haukubaliki kabisaaa bora muambiane ukweli na sio kukatana mapanga..huku jamiii kama kuna mtu anatabia ya kumchapa mkewe nae aache kabisa hii tabia najua hamkosi kina chacha mwita muraaaaa......
 
Attachments

  • mapenzi.jpg
    mapenzi.jpg
    12.7 KB · Views: 369
  • mapenzi 2.jpg
    mapenzi 2.jpg
    21.4 KB · Views: 300
very sad aisee! km kuna wengine humu jukwaani jirekebisheni,haya si mapenzi ila ni uonevu na unyanyasaji.
 
halafu hapo utasikia wivu wa mapenzi mmmh ROHO YA UUWAJI HIYO!
 
aiseee siamini nionacho!yan hawa zamani walikuwa wanaitana sweetie,baby....utumwa wa mapenzi no no no!
 
Hata kama ndio wivu au umemfumania huwezi mcharanga mwenzio namna hii,huu ni uuaji na haufai katika jamii.
 
Hii haikubaliki! Amefanya nini mpaka kustahili adhabu kubwa namna hii? Hata wanyama hatuwatendei namna hii.
 
Mbaya sana hii, huu ni unyama na uuaji,
Huyu aliyetenda hiki kitendo hafai kabisa kuishi uraiani anatakiwa kuozea jera.

Huu ni ukatili uliopindukia!
 
Sasa mbona haujatoa habari kamili umetoa picha tu na haujatoa maelezo yanayoendana na hizo picha..?
 
Huyo akipona unamwomba tena kibuda chake KWELIIII? Aiseee this is very sad!
 
Ukatili hauko kwenye ndoa peke yake...

Hiyo picha ya kulia inataka kufanana na picha niloona kwenye tukio lililotokea Nigeria ambapo binti aliuawa na boyfriend sijuhi mchumba...wala si mume...

Kwa hiyo ukiongelea ukatili jua huko hata nje ya ndoa.
 
maneno na tabia njema yanatosha kumnyosha mtu mwovu. lkn wanawake muwe na msimamo ukiaua kuolewa na mm basi baki na mm sio unatuchanganya na kuleta vvu nyumbani? inasikitisha lkn wahusika watatueleza ukweli na chanzo cha tatizo
 
Inaumaje ukikuta wife kanyanyua miguu juu huku akilia kwa furaha ya kuingiziwa mb*o na janaume jenzako huku usiku wa jana alikunyima K akidai anajisikia vibaya? Aiseeee uishie kuhadithiwa tu inauma vibaya na kwa mazingira hayo akili ya kawaida huenda likizo kwa muda na matokeo yake ndo haya. Jana kuna jamaa kanyonga mtoto kwa kumhisi si wake kutokana na mkewe kuwa na tabia ya kuliwa nje ya ndoa.....Why?
 
Yako wapi mapenzi yenu ya mara ya kwanza mlipokutana hadi mkaamua kufunga ndoa..halafu mwisho wa siku ni kukatana mapanga?jamani hii akili au?si bora muwe ma senior bachelor kama uwezi as ndoa nayo ni wito..unyanyasaji huu kwa wanawake haukubaliki kabisaaa bora muambiane ukweli na sio kukatana mapanga..huku jamiii kama kuna mtu anatabia ya kumchapa mkewe nae aache kabisa hii tabia najua hamkosi kina chacha mwita muraaaaa......

Niliwahi kupokea mwanamke akiwa amecharangwa kama hivi na mumewe kwa wivu wa mapenzi wakati bado nafanya kazi hospitali...alifariki huyo dada, nilidocument kila kitu kuwa tayari kuitwa mahakamani kwa ushahidi....mpaka leo ni miaka 6 imepita...sijaitwa mahakamani kwa usdhaidi, wala sijui kama ilifunguliwa kesi! Inauma sana watu wanapofanya unyama wa kiasi hiki...and they get away with it!
 
Yako wapi mapenzi yenu ya mara ya kwanza mlipokutana hadi mkaamua kufunga ndoa..halafu mwisho wa siku ni kukatana mapanga?jamani hii akili au?si bora muwe ma senior bachelor kama uwezi as ndoa nayo ni wito..unyanyasaji huu kwa wanawake haukubaliki kabisaaa bora muambiane ukweli na sio kukatana mapanga..huku jamiii kama kuna mtu anatabia ya kumchapa mkewe nae aache kabisa hii tabia najua hamkosi kina chacha mwita muraaaaa......

MAMAAAAAA YANGUUUUUUU. Real this is the LAST DAYS
 
Back
Top Bottom