CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,250
- 12,868
mapenzi yanasemekana kuwa ni TAMAA iliyokomaa, jibu ndiyo / hapana kisha tetea jibu lako!
let me nkapate fegi thn ntarud kuchangia. sawwwwa??
Sijaelewa unazungumzia mapenzi(sex) au upendo!
we unafikiri mapenzi ni sex tu? no tena big NO. Ndo mana unaambiwa uwe na mapenzi ya dhat kwa mkeo/mmeo kwan huwa wanamaanisha sex? mapenzi ni tofaut na sex
nakatiza tu jamani . . .
mapenzi yanasemekana kuwa ni TAMAA iliyokomaa, jibu ndiyo / hapana kisha tetea jibu lako!
ndio
sababu unamtamani mtu kwanza then ndio unampenda ......tamaa hua ndio inatangulia then upendo wa dhati ndio ufate baada ya kua karibu na huyo mtu,ama kushiriki chochote naye(mapenzi)
Hapana! Mapenzi ni mapenzi na tamaa ni tamaa haviingiliana..unaweza kutamani kitu/mtu katika early stages but later tamaa inaisha mizizi ya mapenzi inaota..au unaweza kumtamani mtu lakini usiwe na mapenzi juu yake..[/QUOTE]+1 oa
Hapo hapo na mimi naomba niulize swali. Kwani huwezi kumuona mwanaume/mwanamke siku ya kwanza na ukampenda?