Mapenzi ni sweet,lakin!!!!!

CHIGANDA

New Member
Mar 3, 2012
2
0
Sijui ni utaratibu gani hutumika kumpata mpenzi aliye mkweli,kwani ni imani yangu kuwa kila kilicho chema kina mahusiano ya moja kwa moja na Mwenyezi Mungu,lakin ajabu kuna watu wanapata wapenzi wema kwa njia haramu na kuwafanya wakose utambuzi rational,Nimehangaika sana,nimenyanyaswa sana,nimeteseka sana na haya mapenzi kwani niligusa pasipo gusika,sasa kwa kuwa mimi ni binadamu mwenye sifa zote za kibayolojia,nimeamua kuliweka hili hadharani pengine naweza pata aliyetendwa kama mimi,KAZI KWENU WALIMWENGU.
 
Hapa hakuna anaenda kanisani kila siku j'pili hata tukuhakikishie kama utapata mkweli aliye na uhusiano na mungu.
 
mkikutana wote wawili mna machungu ya kutendwa, si patachimibika mkuu?
 
Mapenzi hayatabiriki. Ni kama bahati tu unapokuta umempata mtu aliye na mwelekeo mzuri. Taratibu utapata anayekufaa. Sio wote ni waongo ila kumjua wa kweli ndio mtihani. So be patient and pray..
 
tatzo nyie mkiwa kwenye mahusiano mnajifanya wababe mkikimbiwa mnalalamika,golden chance never come twice!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom