Mapenzi ni sumu kaliiii, nisaidieni!

we kweli mwehu, yaani....lione. Tukidai watoto wamevamia jukwaa mnakasirika.

Gurta hata wewe ni mwehu, kwasababu hunijui.
Mtoto kisingizio, umeniona mtoto?
Tulia ufikri, wewe ni great thinker.
Matusi hayasaidii, yanakuongeza ujinga!
 
We uko kidato cha ngapi???

nilishamaliza kidato, tena kazi nimeiona.
Inanipa kipato, naweza kujikimu.
Watakja kuniaidiaje, ukweli nimekupa?
Kama kwenye avater ndio wewe, tayari nimekupenda!
 
nilishamaliza kidato, tena kazi nimeiona.
Inanipa kipato, naweza kujikimu.
Watakja kuniaidiaje, ukweli nimekupa?
Kama kwenye avater ndio wewe, tayari nimekupenda!

Mtu mzima naona unashuka vina tu lol
 
nilishamaliza kidato, tena kazi nimeiona.
Inanipa kipato, naweza kujikimu.
Watakja kuniaidiaje, ukweli nimekupa?
Kama kwenye avater ndio wewe, tayari nimekupenda!

Ndo unapenda haraka hivyo???Haya achana na huyo fomfo kabla hajakuzushia kesi ya kubaka utafute mwingine wa kumpenda!
 
Kaka usiwe na shaka. Mshauri aendelee na shule kwanza halafu muoane. Ila kumbuka kuna wenzako wengi washakuja hapa kutulilia kuwekeza kwa wasichana waliopo vyuoni / mashulebaada ya kumaliza masomo yako mabrother kakas wakaishia kutoswa. Uwe macho katika hilo. Warning: mambo ya kutaka kuoa watoto wadogo sisi wazazi hatukubaliana nayo. Ukiendekeza hilo tutakufuata huko huko na kukuadhibu. Tunataka huyo siku moja aje kuwa "ANNA MAKINDA" aongoze bunge bila kuelewa nini anachoongoza ha ha ha
 
Ndo unapenda haraka hivyo???Haya achana na huyo fomfo kabla hajakuzushia kesi ya kubaka utafute mwingine wa kumpenda!

Nashukru kipenzi, ushauri wako mtamu.
nahisi nikufahamu, ila keayboard haioni.
Unanifaa kwa sana, labda uwe umesajiriwa.
Maana usajiri umezidi, simu mpaka wake.
 
Kaka usiwe na shaka. Mshauri aendelee na shule kwanza halafu muoane. Ila kumbuka kuna wenzako wengi washakuja hapa kutulilia kuwekeza kwa wasichana waliopo vyuoni / mashulebaada ya kumaliza masomo yako mabrother kakas wakaishia kutoswa. Uwe macho katika hilo. Warning: mambo ya kutaka kuoa watoto wadogo sisi wazazi hatukubaliana nayo. Ukiendekeza hilo tutakufuata huko huko na kukuadhibu. Tunataka huyo siku moja aje kuwa "ANNA MAKINDA" aongoze bunge bila kuelewa nini anachoongoza ha ha ha
Ushauri umeutoa, 100% umepata kwa kuanza na upole.
mimi nitazingatia, kumuacha nitajitahidi.
Ila asiwe kama Makinda, hilo ni balaa.
 
utoto bwana!!kukaa kooote umeona umepost kitu cha maaana na bichwa hilo, haya achana mara moja na huyo binti,kwanza wewe umeishia kidato changapi?
 
fataki originale

Mkare umenichoma, tena nimeumia.
Umekula nyama choma, pombe umeshishia.
Hukutoa ushauri, matusi umetengeneza.
Sihitaji ufataki, labda uwe mwenyekiti.
 
utoto bwana!!kukaa kooote umeona umepost kitu cha maaana na bichwa hilo, haya achana mara moja na huyo binti,kwanza wewe umeishia kidato changapi?

Kidato sijapia. cha shule ni ukweli.
Nilichopita kidato, ni chapesa naeleza.
Ninazo nyingi, ukitaka nitakugawia.
Kweli elimu ni pesa, ukizipata utafurahi.
 
Nimekulia mtaani, vina lugha yetu.
naomba samahani, nikikosea yawe yetu

Samahani mwombe mola, kwa sababu sijakwazika,
ungenikwaza ningekupasha, bila hata ya kukinga ridhaa,
weye fanya vitu vyako, kama vikufaavyo
usisikilize ya vidudu mtu, mabibi na mababu shutu,
wasio hata na utu, wao wenye roho za kutu.
 
Umependeza moyoni, hata avater inapendeza.
Maneno yako uvunguni, tena nimeyahifadhi.
Kila siku nitayasoma, nakuyaweka moyoni.
Sante sana asante tuendeleze taifa letu.
 
Nashukru kipenzi, ushauri wako mtamu.
nahisi nikufahamu, ila keayboard haioni.
Unanifaa kwa sana, labda uwe umesajiriwa.
Maana usajiri umezidi, simu mpaka wake.

Njoo nikupe mdogo wangu maana nimependa mashairi!
 
Njoo nikupe mdogo wangu maana nimependa mashairi!

NitakuPM muda si muda, ili unigawie na mie.
Tukipeana kwa muda, ushauri nisiumie.
Lizy jina tamu, kuliita lanisisimua.
Mahaba yanapanda, inabidi niende kuleeeeeeeeeee MMU.
 
Hallo,
Kama wakati mgumu maishani mwangu, ni huu ndio nilio nao.
Nilipenda msichana yupo Form 4, nilipomweleza hisia zangu hakusita kwani hata yeye alikuwa na kitu hicho tangu siku nyingi! Sasa umefikia wakati mimi nataka nioe mwaka kesho, na nilimwambia kabla ya kusign in yaani kukubaliana naye, hakuzungumzia zaidi kuhusu hilo.

Msichana anauwezo mkubwa darasani yuko tatu bora! Sasa amesema kuona naye mwaka kesho ni lazima. Amesema atatumia mbinu yoyote ile ili mimi na yeye tuoane mwaka kesho! Sasa nifanyeje, niachane naye maana najua atajifelisha ili tuoane, na akifaulu kwenda kidato cha tano itakuwaje? Hataki tuachane ng'o!
Nisaidieni wanajamvi ni wakati mgumu!
Asanteni.

A killer never bargain, and that is a kind of war choose one thing to kill or to be killed.
But it really don't sense kwani ukimwacha asome itachacha? Unaogopa kukimbiwa akikutana na wajanja? We unaomba pepo duniani eeh? Jibu sahihi unalo mwache au umsubiri. Au hutaki kushare? Mapenzi hana makombo hujui?
Usiwe ndezi kiasi hicho binti mdogo kiasi hicho atakuumizaje akili?.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom