Mapenzi ni sumu kaliiii, nisaidieni!

Logo

JF-Expert Member
Jan 26, 2011
588
48
Hallo,
Kama wakati mgumu maishani mwangu, ni huu ndio nilio nao.
Nilipenda msichana yupo Form 4, nilipomweleza hisia zangu hakusita kwani hata yeye alikuwa na kitu hicho tangu siku nyingi! Sasa umefikia wakati mimi nataka nioe mwaka kesho, na nilimwambia kabla ya kusign in yaani kukubaliana naye, hakuzungumzia zaidi kuhusu hilo.

Msichana anauwezo mkubwa darasani yuko tatu bora! Sasa amesema kuona naye mwaka kesho ni lazima. Amesema atatumia mbinu yoyote ile ili mimi na yeye tuoane mwaka kesho! Sasa nifanyeje, niachane naye maana najua atajifelisha ili tuoane, na akifaulu kwenda kidato cha tano itakuwaje? Hataki tuachane ng'o!
Nisaidieni wanajamvi ni wakati mgumu!
Asanteni.
 
ngoja nikawaite walimu waje hapa!! maaana naona unatuchezea akili sasa!!!!!!!!!
 
Kwani na wewe bado upo "kidato"?, kama haupo huko basi wa kidato waachie wa kidato wenyewe, tafuta mtu mzima mwenzio usije itwa fataki. Kwa jinsi ya watoto wa siku hizi wanaanza masomo mapema kwa vyovyote kwa hiyo O-Level atakuwa under 18, tahadhali waijua sheria inaitwa SOSPA!?, inakunyemelea ndugu
 
Watakuja kunisaidia au?

hivi kweli mtu mzima kama mimi unaweza kunikalisha chini, kwa habari kama hii?? eti mwanafunzi!! angekuwa mdogo wako ww anafanyiwa kama unavyomfanyia mtoto wa watu ungefurahi?????????
 
Nenda FB ukaulize huko tuondolee utoto wako hapo eti atajifelisha kisa nini hiyo mb** au kitu gani hasa muone kwanza

Ole wako unijibu nakuchapa
 
ona hapa chini da dena!!

The following user say thanks to Dena Amsi for this usefull post
Susy (Today)
 
hahahhahahhah uwiii jamani mbavu zangu
muoneeni huruma jamani
ye kazoea wa vidato tu:lol::lol:
wakubwa wenzake pasua kichwa..lol
 
Hallo,
Kama wakati mgumu maishani mwangu, ni huu ndio nilio nao.
Nilipenda msichana yupo Form 4, nilipomweleza hisia zangu hakusita kwani hata yeye alikuwa na kitu hicho tangu siku nyingi! Sasa umefikia wakati mimi nataka nioe mwaka kesho, na nilimwambia kabla ya kusign in yaani kukubaliana naye, hakuzungumzia zaidi kuhusu hilo.

Msichana anauwezo mkubwa darasani yuko tatu bora! Sasa amesema kuona naye mwaka kesho ni lazima. Amesema atatumia mbinu yoyote ile ili mimi na yeye tuoane mwaka kesho! Sasa nifanyeje, niachane naye maana najua atajifelisha ili tuoane, na akifaulu kwenda kidato cha tano itakuwaje? Hataki tuachane ng'o!
Nisaidieni wanajamvi ni wakati mgumu!
Asanteni.
MKUU,..
Niliposoma topic nikajua labda kweli unataka msaada ikabidi niingie ili nione content/thread yenyewe,..nilicho kiona sasa baada ya kuisoma ni kwamba wewe unaonekana una matatizo kidogo ya kufikiri na kufanya maamuzi na wala sio matatizo yanayosababishwa na sumu ya penzi kama unavyotaka kutuaminisha ww,...haiwezekani hata kidogo eti upange kuoana na mtoto wa kidato cha nne ambaye nafikiri utakua umembaka mara kibao bila ridhaa yake isipokua kwa giriba zako za kifataki,....i wish ningekufahamu ili sheria ichukue mkondo wake
My take:achana mara moja na huyo mtt na sio huyo tu hata hao wengine unaofikiria kuwagiribu plz tafuta saizi yako ,..mbina wapo wengi tu
 
Nenda FB ukaulize huko tuondolee utoto wako hapo eti atajifelisha kisa nini hiyo mb** au kitu gani hasa muone kwanza

Ole wako unijibu nakuchapa
Verse umezitoa, tena zawaka moto.
Ukweli umetoboa, umenichoma kisu cha moto.
NitakuPM ndoa, ujibu nikupe kitimoto.
Dena Amsi sio doa, ungenishuri ningepona
 
Watakapokuja kwenye hiyo ndoa yenu hutaweza kujitetea kuwa hukujua. Hivi hata taarifa ya habari huangalii au kusikiliza? Huo ni uharibifu kwa watoto wetu, mwache haraka asome! Yaani mwenzio akili zake za kitoto toto anafikiri ndoa ni mchezo wa kibaba na kimama na wewe unajua yupo serious?
Hebu kaache hako katoto, hakajui kalitendalo. Au kasuburi kama umri umeenda kama wangu tafuta mkubwa mwenzetu oa. Ila ukikaendekeza utapigwa ban ya 30 years from our world.
 
tatizo hizi forum mpaka watoto wanatumia, sasa unataka alete hoja gani kwenye jukwaa la mapenzi! si bora huyo wengine ni primary ana access viruzi tu na siku zinakwenda, atakuja mwingine hapa wa darasa la sita kutuletea stori za demu wake!

Angalizo..kijana achana na mwanafunzi, mwache asome...yani ungejua mpaka sasa unastahili adhabu
 
MKUU,..
Niliposoma topic nikajua labda kweli unataka msaada ikabidi niingie ili nione content/thread yenyewe,..nilicho kiona sasa baada ya kuisoma ni kwamba wewe unaonekana una matatizo kidogo ya kufikiri na kufanya maamuzi na wala sio matatizo yanayosababishwa na sumu ya penzi kama unavyotaka kutuaminisha ww,...haiwezekani hata kidogo eti upange kuoana na mtoto wa kidato cha nne ambaye nafikiri utakua umembaka mara kibao bila ridhaa yake isipokua kwa giriba zako za kifataki,....i wish ningekufahamu ili sheria ichukue mkondo wake
My take:achana mara moja na huyo mtt na sio huyo tu hata hao wengine unaofikiria kuwagiribu plz tafuta saizi yako ,..mbina wapo wengi tu

Pointi umezinena, moyoni umenifungua.
Nilikuwa nimebana, inanibidi kufumbua.
Hongera nukatumia, ziweze kukufurahisha.
Nakupenda kiongozi mwema, ujengaye taifa letu.
 
tatizo hizi forum mpaka watoto wanatumia, sasa unataka alete hoja gani kwenye jukwaa la mapenzi! si bora huyo wengine ni primary ana access viruzi tu na siku zinakwenda, atakuja mwingine hapa wa darasa la sita kutuletea stori za demu wake!

Angalizo..kijana achana na mwanafunzi, mwache asome...yani ungejua mpaka sasa unastahili adhabu

Mzee umenena, kwa busara nimeelewa.
Nitajitahidi kumuacha, tena leo nitampigia.
Ng'o sitaendelea, ushauri wako nimeuelewa.
Ulale salama leo, kazi ya upendo umeifanya.
 
Watakapokuja kwenye hiyo ndoa yenu hutaweza kujitetea kuwa hukujua. Hivi hata taarifa ya habari huangalii au kusikiliza? Huo ni uharibifu kwa watoto wetu, mwache haraka asome! Yaani mwenzio akili zake za kitoto toto anafikiri ndoa ni mchezo wa kibaba na kimama na wewe unajua yupo serious?
Hebu kaache hako katoto, hakajui kalitendalo. Au kasuburi kama umri umeenda kama wangu tafuta mkubwa mwenzetu oa. Ila ukikaendekeza utapigwa ban ya 30 years from our world.
Umenifumbua macho, hata utando umetoka.
Umeongea bila kicho, usemi wako umeeleweka!
Miaka 30 ni kichocho, ukweli siwezi kustahimili.
Leo nimeacha, maisha ni utu.
 
Mzee umenena, kwa busara nimeelewa.
Nitajitahidi kumuacha, tena leo nitampigia.
Ng'o sitaendelea, ushauri wako nimeuelewa.
Ulale salama leo, kazi ya upendo umeifanya.

Usijali, pole sana..! karibu sana
 
hahahhahahhah uwiii jamani mbavu zangu
muoneeni huruma jamani
ye kazoea wa vidato tu:lol::lol:
wakubwa wenzake pasua kichwa..lol

Unacheka kwa giliba, mizimu imekuzunguka.
Hujatoa gamba, umeongeza kuanguka.
Mauti ni mamba, huwa yuko kimya.
Hata wewe ni binadamu, jaribu kutulia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom