Mapenzi ni mateso jamani/ kupenda kubaya sana

genesisbryne

Member
Dec 30, 2010
12
2
Ni takribani miezi 6 sasa toka nilipaachana na rafiki yangu,
lakini mpaka leo hii napoandika thread hii naumia moyoni kila nikimkumbuka
nilikuwa na ndoto nyingi nae katika maisha yangu bali kutokana na sababu nilizochindwa kuvumilia kwa muda mrefu nikaona nijiweke pembeni.

nimeshindwa kabisa kumsahau nduguzanguni....!
 
duu!! pole sana kweli wewe ulipenda !!!!! wenzio ni hapo kwa papo ukiacha unasahau!!
 
Nashangaa sana watu wanaoziendekeza nafsi zao katika mapenzi. Katika hilo mpigie magoti Yesu Kristo na kumshukuru kwa mema aliyokutendea na utubu kabisa kama hamkuvunja amri ya sita.
Nasema hivyo kwa maana labda angekuja kukutenda zaidi ya hapo alipokutenda na kukuumiza zaidi ya hapo.
Sema na moyo wako utamsahau na kitu kingine usimfikirie kila mara kwani hauna shughuli nyingine zinakuweka busy mpaka umfikirie huyo jamaa yako aliyekutenda?
Watu kama nyie ndiyo mnaokufa kirahisi, unaweza kukuta mtu amepuyanga zake siku akijisikia anakuja kwako kukudanganya na wewe unakubali kwa kigezo unampenda.
 
Ni takribani miezi 6 sasa toka nilipaachana na rafiki yangu,
lakini mpaka leo hii napoandika thread hii naumia moyoni kila nikimkumbuka
nilikuwa na ndoto nyingi nae katika maisha yangu bali kutokana na sababu nilizochindwa kuvumilia kwa muda mrefu nikaona nijiweke pembeni.

nimeshindwa kabisa kumsahau nduguzanguni....!

kama vp jaribu ku make-up naye ili uendelee kuwa na furaha kama unaona kuachana naye ulikosea. Vinginevyo kwa kuwa hamkuzaliwa mapacha, we endelea na maisha yako..........si unajua mambo ya ukimwi!
 
Ama kwel mapenz ni kabur endapo utapenda ucpopendwa,na ni vigumu kutambua kama mwenza amekutia moyoni au kakutamani.
 
Ni takribani miezi 6 sasa toka nilipaachana na rafiki yangu,
lakini mpaka leo hii napoandika thread hii naumia moyoni kila nikimkumbuka
nilikuwa na ndoto nyingi nae katika maisha yangu bali kutokana na sababu nilizochindwa kuvumilia kwa muda mrefu nikaona nijiweke pembeni.
nimeshindwa kabisa kumsahau nduguzanguni....!

Pole sana jaribu kujiweka busy na shughuli zako, pia jichanganye na marafiki zako. Usiwe unakaa muda mrefu idle minded hii ni mbaya na itakufanya kumkumbuka mara kwa mara.
 
Pole!

Ndo raha ya kupenda hiyo, uumizweee mpaka basi afu mwenzio keshakusahau na kakamata kitu kipya.
Its only time au ukikutana na the right person can heal a broken heart.
 
Songa mbele!! jiwekee malengo mengine, utayasahau. Jisemee moyoni, life is possible without him/her.
 
Sometimes you have to smile pretend everything is okay Hold back the tears,and just walk away....utaumizwa na wenzio hadi lini?? wewe umebaki kuungulia moyoni mwenzio anakula gud tym....me pia nlikuwa hvo hvo lakini cku hzi wala binadam mwenzangu hanipi presha.... nikiona haviji tupa kuleeeeeeeeeeeeee naendelea na ishu zangu
 
we hujakamatika wewe
 
Ni takribani miezi 6 sasa toka nilipaachana na rafiki yangu,
lakini mpaka leo hii napoandika thread hii naumia moyoni kila nikimkumbuka
nilikuwa na ndoto nyingi nae katika maisha yangu bali kutokana na sababu nilizochindwa kuvumilia kwa muda mrefu nikaona nijiweke pembeni.

nimeshindwa kabisa kumsahau nduguzanguni....!

Ni kawaida hiyo hakuna cha ajabu. Wapenzi wengine ni vigumu sana kuwasahau hata baada ya miaka chungu nzima kupita, labda utampata mwingine utampenda kama yeye. Pole sana.

Last edited by a moderator:
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom