Mapenzi motomoto

Kimbweka

JF-Expert Member
Jul 16, 2009
8,597
1,683
Afadhali ya kufua nani hiiiii:eyebrows::lol:

unajua kupika.jpg
 
iyo mbona kawaida tu! mimi natengeneza juice karibia kila siku kumsaidia waifu wakati yeye anapika vyakula vingine..tukirudi wote jioni, hatuna housegirl, naona anachoka sana peke yake, na akichoka sana, anashindwa kunipatia unyumba vizuri, sasa ili kusolve tatizo ni kusaidia iti asichoke sana na wote tufaidi maisha. hapo vipi? nimechukuliwa akili au?
 
Well done hapo hakuna kuchukuliwa kiakili ni kuonyesha upendo kwa mwenzako na kuonyesha ni namna gani unavyomjali kwa kumsaidia baadhi ya kazi ila kwa wabongo hawachelewi kuanza kuchonga kuwa umechukuliwa kiakili
 
mie kupika kuosha vyombo ndo shughuli yangu kubwa,na wala sioni hatari asa sijui mngeniitaje.:playball:
 
kusaidiana lazima kwenye maisha ya sasa ...............kama unataka mke afanye kazi zote za ndani, usimtegemee ende kazini arudi na mshahara mwisho wa mwezi.
 
Hawa wawili si wale waliovunja ukimya kwa hisani ya watu wa marekani?

Wana JF hebu jaribuni kuitazama hiyo picha vizuri na mtizame macho ya huyo mwanaume na kuunganisha na maongezi yenyewe hamuoni kuwa hilo ni li house boy linamtamani bosi wake limesifiwa kidogo tu linajitangaza kuwa linaweza na mengine nani kaliuliza hayo mengine na mengine yenyewe ni yapi zaidi kutaka kuchezea pembejeo za mwenzake za kuendea haja ndogo
 
eeh bana eeeh .................!kamanda kwani hayo yote yanatokea wapi.................??
ni hiyo hiyo picha au kuna story nyingine...................!
manake daaa.............!
 
iyo mbona kawaida tu! mimi natengeneza juice karibia kila siku kumsaidia waifu wakati yeye anapika vyakula vingine..tukirudi wote jioni, hatuna housegirl, naona anachoka sana peke yake, na akichoka sana, anashindwa kunipatia unyumba vizuri, sasa ili kusolve tatizo ni kusaidia iti asichoke sana na wote tufaidi maisha. hapo vipi? nimechukuliwa akili au?
Hongera Ubungoubungo,lkn isiwe tu unasolve tatizo la kuchoka kwa ajili ya unyumba bali iwe unafanya hivyo kama sehemu ya mapenzi regardless ya mambo mengine.Hivyo hata mkeo
akikaa waweza kutengeneza hiyo juice,,,,its real lovely na inaongeza mapenzi.
 
iyo mbona kawaida tu! mimi natengeneza juice karibia kila siku kumsaidia waifu wakati yeye anapika vyakula vingine..tukirudi wote jioni, hatuna housegirl, naona anachoka sana peke yake, na akichoka sana, anashindwa kunipatia unyumba vizuri, sasa ili kusolve tatizo ni kusaidia iti asichoke sana na wote tufaidi maisha. hapo vipi? nimechukuliwa akili au?

Umenichekesha sana Ubungoubungo. yaani wewe unasaidia tu ili usinyimwe unyumba? mi nilidhani ulipaswa kusaidia sababu unampenda! LOL
 
Katika maisha kuna kusaidiana,ila turudi pale adeni,baada ya mwanadamu kuanguka dhambini Mungu alitoa adhbu ya kudumu kwetu,"Mwanmke atazaa kwa uchungu na manamume atakula kwa jasho. Kwa hiyo wakati mwanamume yupo kwenye kutafuta mwanamke anakuwa nyumbani akilea nyumba na vilivyomo:eyeroll2:
 
Back
Top Bottom