mapenzi matamu,mapenzi kizunguzungu,ahaaa,ohooo!why lulu u hv killed a pilot.

maskini kilulu sa saba za usiku kwa kanumba kilifata nini huko................ina mana kina wamix ray na kanumba togeza as one(just saying)
 
mh! mi ngoja nije nijiamulie mapema kuoa, naona kifo hakijulikani, hukawii kufa huku ukiwa "unajipanga" but nasubiri ripoti ya dk. na huko polisi!!!!!!!!!!!!!
 
Ndugu zangu mi nasikia tu hizi habari lakini sijajua bado huyo Lulu aliyemsukumiza Kanumba ni hiki kitoto kinachojadiliwa kila siku au ni Lulu mwingine?
 
Mmh, amakweli hujafa hujaumbika, kama kweli lulu kamuua kanumba,,,mmh basi,hiki kitoto kimetumiwa na shetaniii,!.
 
Yaani Aminata,hata hakieleweki...unaweza ukawazaa ukawazua hadi unachoka,na inabaki kuwa ni kama ndoto tu!, Me nampa pole sana mamayake mzazi,kwamaana walipendana sana..
 
death is a great mystery.... only GOD knows when and how each one of us shall meet his/her demise
 
Ndugu zangu mi nasikia tu hizi habari lakini sijajua bado huyo Lulu aliyemsukumiza Kanumba ni hiki kitoto kinachojadiliwa kila siku au ni Lulu mwingine?
according to sinta ambaye anadai alikuwepo wakati wanampeleka hospitali, ni lulu huyu huyu, elizabeth michael
lulu.jpg lulu2.jpg
 
mi naona lulu hana makosa kwani kufa ni sheria! hoja hapa ni kujiuliza kanumba halikua ameandaa maisha yake kwa maisha badala ya hapa dunian? ukweli ni kwamba hatujaja dunian kuishi milele nawaomba wote tutathimin maisha yetu kifo kisitukute kwenye maisha ya dhambi. jamani kwa kifupi yesu ni lazima atawale maisha yetu ili tujiakikishie usalama baada ya maisha haya.
 
Yap kaka halafu kwa maelezo ya mazingira ya kifo inaelekea ni involuntary manslaughter case
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom