Mapenzi mabaya jamani loh!

Toka lini mapenzi yalikuwa mabaya???

Wewe unafaninisha uzinifu na mapenzi na hapo naona umechanganyikiwa, inabidi tukurudishe shule.
 
Toka lini mapenzi yalikuwa mabaya???

Wewe unafaninisha uzinifu na mapenzi na hapo naona umechanganyikiwa, inabidi tukurudishe shule.
umeanza kunichokoza si ndio endelea tu ...........muone kwanza haya umeshinda yalikua uzinifu
 
umeanza kunichokoza si ndio endelea tu ...........muone kwanza haya umeshinda yalikua uzinifu
Utani pembeni hivi mtu ambaye ana wanawake zaidi ya wawili nje ya ndoa hivi anakuwa ana mapenzi kweli?

Hata mwenye wake zaidi ya mmoja lazima atakuwa ana kasoro tu, hawezi kuwapenda hao kwa namna moja.

Sasa hao walikuwa ni wa nje nje tu-na kama wa nje nje penzi liko wapi hapo, mpaka useme mapenzi ni mabaya ungesema uzinifu mbaya hapo sawa.

Usije hata siku moja kufananisha mpenzi na mzinifu...Mpenzi huwa ana stay in love with one man/woman for ever.

4 Y I; Hata bf na gf wanaweza kujita wapenzi kama wana nia ya kuowana, kama niia yao ni kufanya 6 hao watakuwa ni wazinifu tu, hakuna penzi hapo.
 
sasa yote si mapenz au kilichomfanya huyu kimada au unafikiri ni uzinifu au mapenz na wivu mana mtu ukiwa na wivu sio tena uzinifu huo bali uko inlove tayari ujue...........ukisema uzinz hapo ni mjeda ila mm nimesema mapenz mabaya kwa kimada mana wivu ulipitiliza ukazaa hasira na hasira ndio ikazaa mauaji hayo upo mkuu mpaka hapo
 
Hamjambo wapenzi?jamani mkesha wa mwaka mpya bongo ulikuwa na mambo mengi hebu sikieni hii Mjeda kaenda kusalimia kimada chake maeneo ya vingunguti kama kawaida ya wanaume mabazazi kumbe alikuwa anawachanganya mtu na shost yake wote wanafanya kazi sehemu moja,sasa wakati amsindikiza huyo kimada kumbe shost yake akawaona akasubiri jamaa wakati anarudi shost akakodi boda boda na kuanza kumfatilia yule mjeda alipo mkaribia akamchoma kisu cha tumbo maskini utumbo wote nje,mjeda akakichomoa shost akakiokota akamchoma mgongoni jamni yule dada katili sana mjeda kafa hivi hivi huku familia ikijua kaenda job wameambulia maiti amana.Hii imetokea jana!

Huyo dada atanyea debe mpaka akome mme kakosa na uhuru ataukosa vile vile kwa wivu wa kijinga
 
Utani pembeni hivi mtu ambaye ana wanawake zaidi ya wawili nje ya ndoa hivi anakuwa ana mapenzi kweli?.

Anakuwa na tamaa ya mwili
sasa ili akidhi matakwa ndo utaona kesho yupo na yule kesho kutwa amebadili n.k
 
watu wengine wanapenda kujitafutia matatizo mmhhh! sasa shida yote ya nini ni hiyo na kila siku wanazaliwa wapya.:embarassed2:
 
watu wengine wanapenda kujitafutia matatizo mmhhh! sasa shida yote ya nini ni hiyo na kila siku wanazaliwa wapya.:embarassed2:
ila wajeda wengi hawariziki na mke mmoja hata siku moja sijui wakoje wajameni............wanapenda kukonyeza haooooo
 
cantalisia unasema mungu amlaze peponi wakati issue yenyewe imetokea katka harakati za kumsaliti mkewe hapo tumuachie shetani aongeze uchochezi kwa wote ambao sio waaminifu.
 
sasa yote si mapenz au kilichomfanya huyu kimada au unafikiri ni uzinifu au mapenz na wivu mana mtu ukiwa na wivu sio tena uzinifu huo bali uko inlove tayari ujue...........ukisema uzinz hapo ni mjeda ila mm nimesema mapenz mabaya kwa kimada mana wivu ulipitiliza ukazaa hasira na hasira ndio ikazaa mauaji hayo upo mkuu mpaka hapo
Yani wewe unadhani wivu ndio mapenzi???

Mwenye kupenda ana uwa???

Toka lini pendo likawa uwaji??

Mimi nikimuonea wivu mkubwa wangu kazini ana-position kubwa, basi ntakuwa nampenda sana kutokana na defination yako au uwongo???

Huyo mwanamke aliye uwa kama anajua kweli penzi sidhani kama atafikia hatua ya ku-uwa mpenzi wake.

Yani mimi sijisifi nikiwa nimependa mtu huwa simuonei wivu najua wazi wivu ni kero na kupenda sio lazima uwe na gf wako au mke wako....Hata ndugu zako...na kama unampenda mtu vipi umkere haswa kama ni mpenzi wako??

Wivu na maradhi mabaya ya ki akili na wala sio mapenzi.

fazaa, ivi mapenzi ya mke na yale ya ndugu au mama yanafanana?
Yani hapo kuna mapenzi aina tatu.

Naanza na Mama; Huyo hakuna ambaye ataweza kuchukua nafasi yake sio mke wangu au ndugu zangu...Hilo linaitwa pendo la heshima na la milele na asiye mpenda mama yake lazima atakuwa kichaa tu.

Mke; Huyo lazima atakuwa everything spesho...pendo lako liko tofauti na wengine...Hilo linaitwa pendo la my spesho applle.

Ndugu; Hapo ni pendo la damu, yani ndugu yako ni damu yako...Wewe uliona wapi mtu akaichukia damu inayo fanana naye.

Kuna swali lingine.
 
Back
Top Bottom