AMINATA 9
JF-Expert Member
- Aug 6, 2011
- 2,120
- 641
[h=6]Hamjambo wapenzi?jamani mkesha wa mwaka mpya bongo ulikuwa na mambo mengi hebu sikieni hii Mjeda kaenda kusalimia kimada chake maeneo ya vingunguti kama kawaida ya wanaume mabazazi kumbe alikuwa anawachanganya mtu na shost yake wote wanafanya kazi sehemu moja,sasa wakati amsindikiza huyo kimada kumbe shost yake akawaona akasubiri jamaa wakati anarudi shost akakodi boda boda na kuanza kumfatilia yule mjeda alipo mkaribia akamchoma kisu cha tumbo maskini utumbo wote nje,mjeda akakichomoa shost akakiokota akamchoma mgongoni jamni yule dada katili sana mjeda kafa hivi hivi huku familia ikijua kaenda job wameambulia maiti amana.Hii imetokea jana![/h]