Mapenzi ktk vyuo kuu

Labda tu nizungumzie experience yangu,wakati niko chuo kuna mama mmoja aliyekuwa akiheshimika sana kutokana na ushauri aliokuwa akiwapa wadada kuhusu mambo ya mahusiano,na vilevile huko alikotoka alikuwa ameacha mumewe mchungaji katika kanisa moja hivyo kwa jina jingine alikuwa akiitwa mama mchungaji,cha kushangaza usiku mmoja kama saa 5 hivi aliniita chumbani kwake wakati anaoishi nao chumbani wametoka kwenda kujirusha,hivyo tukapata wasaa wa kuwa wawili peke yetu ndani ya chumba hicho.Bila kuficha wala kuumauma alinitamkia wazi kuwa alichoniitia ni sarakasi na kuwa anataka niwe msiri wake kuanzia siku hiyo,nikamuuliza,wewe si umeacha mume na watoto nyumbani kwako?Naye bila hiyana akanijibu kuwa hilo ndio lilikuwa tatizo kwa kuwa amezoea kwake kupata maraha kila anapojisikia na sasa hivi yuko mbali na mwenzi wake na katika kutazama vijana anaoweza kuamini ndio akaniona mimi,basi na mie sikuwa na jinsi.Kwa hiyo basi hapo inaonesha kuwa kuna baadhi ya watu hawawezi kuzuia matamanio yao na huwa wanafanya kwa siri au hadharani.
 
mmmhh kwa kweli hii sio siri tena..
hii ndio balaa mtu anajifanya mtakatifu kuonya wengine
na wakati yeye mwenyewe yake yame jaa..
mmhhhh haya tena sasa vipi u still keep in touch with mama mchungaji
or was just one night stand ......lol
 
kwa hiyo ulimshughulikia?
 
kwa hiyo ulimshughulikia?

Mkuu unauliza makofi kituo cha polisi yatakosekanaje!!

mmmhh kwa kweli hii sio siri tena..
hii ndio balaa mtu anajifanya mtakatifu kuonya wengine
na wakati yeye mwenyewe yake yame jaa..
mmhhhh haya tena sasa vipi u still keep in touch with mama mchungaji
or was just one night stand ......lol

No I m not in touch with mama mchungaji anymore,the thing was over after graduation.
 
No I m not in touch with mama mchungaji anymore,the thing was over after graduation.[/QUOTE]

mmmmhhhhh haya bwana ..
mmhh vizuri kutakaswa..
 
mmmmhhhhh haya bwana ..
mmhh vizuri kutakaswa..[/QUOTE]

Kutakaswa au kulaaniwa maana alikuwa mkubwa kwangu for almost ten years.
 
mmmhhh hakuna laana bwana ..
labda dhambi tu ya kulala na mke wa ntu lol
lakini kwa umri mmhh mie sioni tatizo au hukupenda hiyo experience ??
 
mkuu chuon hakuna ki2 kinacho julikana kama mapenz ya thati..mapenz ya chuo nikusuuzana2
 
Mapenzi ya chuo matamu jamani maana unajikuta unasahau matatizo yako yote hasa ukimpata anaeyajua kiasi kwamba hata likizo unajikuta huna hamu ya kwenda nyumbani kukutana na uliyemwacha.
madenti leo tutawashika tu na kuwafuta uanachama wasome kwanza humu mfano ni huyu
 
Inaonekana wanafunzi wengi wa vyuo/vyuo vikuu hawaaminiki kuwa na mapenzi ya dhati.hii ni asa kwa wanafunzi walio acha wapenzi wao maskani. mnasemaje nawasikiliza

Wamefuata shule, hiyo ni ziada tu (changamsha mwili), ni binadamu hao! hebu soma story ya PJ :frusty:
 
Chuo zamani walikuwa wenda watu majibaba na wamama, lakini siku hizi, malezi bora na kuchangamka mapema kumebidi vijana ambao wengi hawaja komaa kimaadili na kifikra kuingia chuoni. Mara nyingi utapata uhuru ulioko chuoni na mrundiko wa wanafunzi kutoka sehemu mbali mbali huweza kubadili fikra za vijana na pia "peer pressure". Mambo mengi ya mapenzi ya vyuoni hua ni mpito, kwani ni nadra sana kuona wanandoa walio juana chuoni. Chuo hua ni kama stage moja wapo ya kukuwa!!!!
 
Vishawishi vipo..... kuteleza kupo.... mtu anapocheat sio kwamba hakupendi ni tamaa tu....

mfano mtu anapenda sana zabibu, siku akila embe au papai haimaanishi hapendi tena zabibu... zabibu might still be favorite...

hivi gal friend wako akikucheat utamsamehe kwa mujibu ya maelezo yako hapo juu??? will u understand kuwa zilikuwa ni tamaa tuu za kutaka kula apple maana amezoea kula mangoes???
 
hapa mkuu umeleta bonge la topic coz mie nimemaliza chuo mwaka jana na niliona:
1. Watu walikuwa wepesi sana wa kupata wapenzi wapya chuo just because wengine walikuwa hawataki kuonekana single/wapweke.
2. Wake na waume za watu kusaliti ndoa zao ilikuwa ni kawaida kwa baadhi ya wanandoa kuna kipindi mdada flan alihisi kuwa huenda amepata mimba ikabidi alazimishe kurudi fasta kwa mumewe kusudi akijifungua dili lisimbumbuluke.
3. Hao watoto waliosoma seminali/single sex na bila kusahau wale wa geti kali wakifika chuo wanashobokea mapenzi ni balaa. Si unajua ukame wa ile kitu hasa mkipotezana kwa muda mrefu?
4. Nilijua kuwa mapenzi ya chuoni yanakwenda kisomi somi na njia salama ila nilichokiona ni kuwa ni mara chache sana (very very rarely) kukuta wanatumia condom unless if there is a special case.
Wakuu ni hayo tu kwa leo.

DU! kumbe chuo ndivyo mambo yanavyoenda, ngoja na mimi niende kupata ka -uzoefu:amen::amen::amen::amen:
 
Ila nakuasa uwe muangalifu maana unaweza ukaondoka na vyeti hivi:
1. Cha degree/dip/advance dip/cert/post graduate/masters au phd ya kitu unachosomea.
2. Cheti cha HIV POSITIVE.
 
hapa mkuu umeleta bonge la topic coz mie nimemaliza chuo mwaka jana na niliona:

2. Wake na waume za watu kusaliti ndoa zao ilikuwa ni kawaida kwa baadhi ya wanandoa kuna kipindi mdada flan alihisi kuwa huenda amepata mimba ikabidi alazimishe kurudi fasta kwa mumewe kusudi akijifungua dili lisimbumbuluke.

Wakuu ni hayo tu kwa leo.

Inauma sana watu kusaliti ndoa zao kisa tamaa ya siku moja.
 
lakini ni asilimia ngapi wanaoanzisha mapenzi chuoni wanakuja kuoana na hao wapenzi wao? Kama sio pass time
 
Haya yanafanywa hata na wale wakomavu ni wangapi wako kwenye ndoa na kujiingiza kwenye mahusino na kusahau ndoa zao......Kwenye hili hakuna mtoto wala mtu mzima. Tena hao wazima ndio balaa .
Chuo zamani walikuwa wenda watu majibaba na wamama, lakini siku hizi, malezi bora na kuchangamka mapema kumebidi vijana ambao wengi hawaja komaa kimaadili na kifikra kuingia chuoni. Mara nyingi utapata uhuru ulioko chuoni na mrundiko wa wanafunzi kutoka sehemu mbali mbali huweza kubadili fikra za vijana na pia "peer pressure". Mambo mengi ya mapenzi ya vyuoni hua ni mpito, kwani ni nadra sana kuona wanandoa walio juana chuoni. Chuo hua ni kama stage moja wapo ya kukuwa!!!!
 
Wanawake wa chuo hasa ni waongo wanapenda wanaume kwa temprary kiakademic au financialy masomo kwisha na mapenz kwisha
 
Mapenzi ya dhati chuon yawezekana ila inategemea na watu(walengwa)mfn mm mbona nimekutana na mchumba wngu chuon na mwez wa 5 twaoana,ila kiukweli kuna uchakachuaji wa hali ya juu sn wenyewe wanaita kulindana
 
Back
Top Bottom