Mapenzi kati ya ndugu kwa ndugu.

JERUSALEM 2006

JF-Expert Member
Apr 23, 2012
526
583
Wasalaam JF members.
Ni tabia ambayo imejengeka kwa jamii nyingi, kukuta ndugu kwa ndugu wanafanya mapenzi kwa sababu tofauti tofauti.
Hii imesababisha mimba zisizokuwa na tija na migongano kunako familia. Je?
1. Kwa nini hili jambo hutokea kwa ndugu kuwa na matamanio ya kimapenzi baina yao?
2. Nini kifanyike ili ndugu wasijiingize katika ngono baina yao?
3. Na kama imeshatokea ndugu wanafanya ngono, je ni halali wao kuoana? kwani itabidi wasidhini.
NB: Ndugu niwahusishao ni kati ya binamu kwa binamu na mara chache kaka na dada.
 
2. Chakufanya ni kuongea na apple wadizaini chip zenyekuwa na mkondo hasi na nyingine mkondo chanya wa umeme. Zile zenye mkondo chanya wafungiwe ndugu wa kiume na zile zenyn mkondo hasi wafungwe wanawake. Hapo kila watakapotaka kuingiliana kimwili watapigwa shoti hivyo kushindwa kukamilisha uovu wao huo. Asanteni kwa kunisikiliza.
 
Mmmh, kwanza tujue, tatizo la ndugu kwa ndugu lipo, na kama lipo kubwa kiasi gani?
 
Ndugu kwa ndugu hakuna tatizo lolote lile, kama familia yenu haina maradhi ya kurisishana kama, pumu, degede na kazalika, ila kama kuna maradhi hayo haipendezi kuwa na mahusiano ya ndugu kwa ndugu. Mie, baada ya kutangaza natafuta mke aah! mtoto wa mdogo kajitokeza wacha mie burudani sina hofu nae
Mmmh, kwanza tujue, tatizo la ndugu kwa ndugu lipo, na kama lipo kubwa kiasi gani?
 
Wasalaam JF members.
Ni tabia ambayo imejengeka kwa jamii nyingi, kukuta ndugu kwa ndugu wanafanya mapenzi kwa sababu tofauti tofauti.
Hii imesababisha mimba zisizokuwa na tija na migongano kunako familia. Je?
1. Kwa nini hili jambo hutokea kwa ndugu kuwa na matamanio ya kimapenzi baina yao?
2. Nini kifanyike ili ndugu wasijiingize katika ngono baina yao?
3. Na kama imeshatokea ndugu wanafanya ngono, je ni halali wao kuoana? kwani itabidi wasidhini.
NB: Ndugu niwahusishao ni kati ya binamu kwa binamu na mara chache kaka na dada.

Hii ni mwisho wa Dunia
 
hamna hatari hapo bwana AWP mie, nayajua mapenzi ya ndugu yanavyo kua, yani yana Raha kuliko karaha na hata migogoro hua hakuna

Confidently huh, eti avatar hii ni picha yako? Graduate wa chuo gani? Degree za PICHU kwa unachokisema.

Uaminifu ninao uzungumzia eeh! ni ivi Maisha yenu halisi kila mmoja wenu anakuaaelewa anayaelewa, pili nafsi na najamii inayomzunguka hua zinabana mtu kusaliti, kwasababu ni kama kumkana nduguyo
Uaminifu gani? Probably I miss a point
 
Ndugu kwa ndugu hakuna tatizo lolote lile, kama familia yenu haina maradhi ya kurisishana kama, pumu, degede na kazalika, ila kama kuna maradhi hayo haipendezi kuwa na mahusiano ya ndugu kwa ndugu. Mie, baada ya kutangaza natafuta mke aah! mtoto wa mdogo kajitokeza wacha mie burudani sina hofu nae

Hivi jamani mnapokuwa mnatoa comments zenu humu huwa mko serious au mnafanya utani utani tu! Ivi wewe unaweza ukoa/ukafanya ngono na mtoto wa mdogo wako kweli! Au ukaoa dada yako wa damu kweli? This is too much kichefuchefu jamani, looh!!
 
mkuu huyo alikua anajifurahisha tu...tuchukulie tu mfano akisikia demu wake au mkewe analiwa na jamaa anayemfahamu hiyo mihasira atakayokuwa nayo, sasa unaweza imagine jinsi gani atajisikia akijua ndugu wanakulana
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom