Mapenzi Jamani??

Naujua saaana mnato lakini siuzimikii hata kidogo........napenda pwapwapwa, tena nikuibie siri nimepata kigori cha Kingoni kishambashamba hivi na nimekiambia kitafute namna ya kutanua njia..mambo ya kubanana ya kazi gani!!

Mkuu, tayari nimekugongea ''like'' umenena kitu cha maana. sijajua huo mnato unaoongelewa hapa una faida gani zaidi ya kutaka kuchubuana rungu tu. Kila mwanaume nadhani ana preference zake inategemea na yeye maumbile yake yakoje, nadhani K ikiwa na ukubwa standard bhana ndo raha na tena ikiwezekana ni afadhali tundu liwe kubwa kuliko saizi ya ndege ili ndege apate nafasi ya kuruka ruka na kugusa kila kona ya tundu. Wenye vibamia ndo wanaoshobokea K saizi ya chupa..............Kwa wale wadada wanaotaka K zao zionekane ndogo a.k.a mnato nawashauri basi wazifunge na rubber band au waende kwa fundi nguo wazishone.
 
wa jf mna mambo.wamasai na wao wana madawa sio huwa yana ukweli au ni fake?kwa kweli sijawahi kujaribu,na wala sithubutu,k yangu naipenda kama ilivyo

Utaipendaje? yak inapendwa na mwenzako na wewe unapenda yake
 
Kaazi kweli kweli..Yote hii ni kukamatana katika mapenzi.
Mwisho ni kujiaribu maumbile tu.

bwanawee, yani mtu akikaa 'kale kasmell kakikupitia,lazima uwekewe oxygen upumue vizuri
 
Nilikuwa nasoma Bella Naija...kuna research imesema Nigeria ni number one kwa kutumia mkorogo wanawake asilimia zaidi ya 70 ni wateja wa mkorogo ikifuatiwa na South Africa...at the same time wanaume waliohojiwa wamesema wanapenda chocolate girls...wamekuja juu hao.

Hila message wameipata kuwa wako hatarini kupata cancer na magonjwa yanayokaribia cancer.:nono:

Halafu huwa nawashangaa sana hata mimi idadi kubwa ya marafiki, jamaa ndugu niliowahi kuzungumza nao kuhusu hili woote wanasema wanapenda "natural colour" na pia wako wengi si haba wanapenda maji ya kunde au weusi. Na hiyo iwe kijiweni, kazini au kwenye daladala.

Lakini nashangaa bado wako wanawake wasiojua taste ya wanaume........Mimi nahisi wanajikoroga kuwakoga wanawake wenzao
 
shabu ni local aluminium potassium sulfate huwa inatumika kwa ajili ya kutibu maji yaani ni flocculant so it does the flocculation or coagulation activity in water treatment.

shabu hii kwasababu ya kuwa na mchanganyiko huo huwa inatabia ya kukakamaza misuli. inapokuwa applied ukeni hubana misuli ya uke na kufinya njia ya uke kwa muda. hili likifanyika uke huwa mdogo na ndipo watu husema kuwa ni mnato.

side effects zake.

kwanza aluminium husababisha alhzemer's desease
lkin pia shabu huwa ikishapitisha muda action yake hutoweka na hapo hufanya misuli ya uke kuwa kama lapu lapu vile. yaani ukitaka kuelewa ni kama vile mtu anayeweka spirit kwenye kidonda inauma sana kwa wakati ule ila baada ya muda maumivu hutoweka na eneo huweza kuwa contacted tena na vijidudu kama halijahifadhiwa vyema.

unaona kwanini nakumisi humu enh?mi haya ya kikemia si unajua mi nimngwini kwa hiyo nabaki kusme sharbu ni kimiminika sijui ungaunga,umekuja mwenyewe umeshabhaeleza kisayansi kabisa!please usiwe unatuacha muda mrefu hivi bana!
 
blessed is he/she who understands the causes of things. sasa huyo kagundua kuwa wanaume wanapenda mnato wa ukweli so anatoa service itakayo wasaidia watu kuwafanya waume zao watlie
 
mwenzangu,sharbu ni dawa sijui niseme sijui ni unga unga ambao unaweka kwenye k ili iwe ndogo,wanaamini inakuwa kama ya mtoto,sasa kina dada wanaifanya hii kitu bila kujuaa mdhara yake ambayo ni makubwa sana,kimsingi ukavu wa k ukiwa wa asili ndio poa haya ya kufoji haya kuna siku watu wataziweka k cement oh!

haki yamungu hii dunia anamahangaiko, hivi binadamu tumefikia hapa
 
Mhhhh shabu inafanya iwe mnato lakini baada ya mda ikulu inatepweta na ukizowea sana ndio ukijisahau kuvaa chupi
ile kitu inaweza inalia kama firimbi ya refaa mpirani.....
ha ha ha ha ha ha ha ha teh teh teh teh teh teh, mi siwawezi na hizo sharbu zenu
 
Ivi jamani juzi nlikua kwenye saluni fulani hivi,basi akaingia mdada hapo anauza vitu vilivosagwa akasema matumizi yake unaeka kuongezea mnato huko kwa kina dada eti,,,nasikia mwanaume akizama huko na nyumbani kwake anaeza akahama na kama ni mume basi full kukuganda....Jamani ee Do we have to go this far?
haya sasa ni uwanja wazoefuuu wajimwage
 
Sizani kama ni lazima tuende mbali kote hivo jamani,mambo mengine yataishia kutuua,wanawake tujiamini na kama sio riziki basi sio wako huyo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom