Mapenzi Jamani??

Naujua saaana mnato lakini siuzimikii hata kidogo........napenda pwapwapwa, tena nikuibie siri nimepata kigori cha Kingoni kishambashamba hivi na nimekiambia kitafute namna ya kutanua njia..mambo ya kubanana ya kazi gani!!
Eeeh!Mwenyezi Mungu msamehee mhalibifu huyu.
 
Mhhhh shabu inafanya iwe mnato lakini baada ya mda ikulu inatepweta na ukizowea sana ndio ukijisahau kuvaa chupi
ile kitu inaweza inalia kama firimbi ya refaa mpirani.....
kwi kwi kwi kwi ngoja nifunge PC nirudi home.
 
Bado limao mixa na shabu,kitu hata kidole cha mwisho cha mtoto mchanga hakipiti. Sasa ubambane na 'hogo'..utaomba po kwanza!!
 
LMAO..yani mpaka ufike 2025, K zitakuwa zinapikiwa hadi wali nazi! Janaume ka jizi jizi tu,hata uishone kwa uzi,..
 
Naujua saaana mnato lakini siuzimikii hata kidogo........napenda pwapwapwa, tena nikuibie siri nimepata kigori cha Kingoni kishambashamba hivi na nimekiambia kitafute namna ya kutanua njia..mambo ya kubanana ya kazi gani!!

well said mkuu,pwa pwaa pwaa ndo mpango mzima masuala ya kuzama keini unakutana na mbanano kama mnagombania kupanda daladala la mbagala nani anataka!!dushelele inaitaji kujinafasi eboo
 
Hayo mambo yana madhara sana kama ingekuwa ina saidia wala watu wasinge kuwa wana lia kuchwa kila siku. Wakikosa kuzaa wana shangaa!

Huku ni kutokujiamini tu!
 
wa jf mna mambo.wamasai na wao wana madawa sio huwa yana ukweli au ni fake?kwa kweli sijawahi kujaribu,na wala sithubutu,k yangu naipenda kama ilivyo
 
LMAO..yani mpaka ufike 2025, K zitakuwa zinapikiwa hadi wali nazi! Janaume ka jizi jizi tu,hata uishone kwa uzi,..

Kaazi kweli kweli..Yote hii ni kukamatana katika mapenzi.
Mwisho ni kujiaribu maumbile tu.
 
we shudnt!sharbu zinaharibu sana k !wadada tafadhalini sana hiyo minato mnatafuta mnaweza kuwa nayo bila kutumia sharbu.sharbu inaondoa naturality!vipo vitu unaweza kufanya unakuwa poa tu!

Vitu gani please, tujuze maana na haya mambo ya kichina tunaweza umiza kila eneo
 
Elimu ndogo ndio sababu ya magonjwa ya kansa kuwa juu these days Afrika hasa kwa kina mama. Nikisema elimu sina maana ya degree kwani hata wenye degree pengine nao ni wateja...ila kutokuwa na ufahamu wa kutosha na kutopenda kujua ukweli wa mambo.

Mkorogo sie, shabu sijuhi vineger, mara ndimu sie...kisa kumvutia huyu kiumbe anayeitwa mwanaume kwa ku risk afya zetu.

Mimi hawajanipata ...I Afya yangu ni number one priority.
 
Nilikuwa nasoma Bella Naija...kuna research imesema Nigeria ni number one kwa kutumia mkorogo wanawake asilimia zaidi ya 70 ni wateja wa mkorogo ikifuatiwa na South Africa...at the same time wanaume waliohojiwa wamesema wanapenda chocolate girls...wamekuja juu hao.

Hila message wameipata kuwa wako hatarini kupata cancer na magonjwa yanayokaribia cancer.:nono:
 
mwenzangu,sharbu ni dawa sijui niseme sijui ni unga unga ambao unaweka kwenye k ili iwe ndogo,wanaamini inakuwa kama ya mtoto,sasa kina dada wanaifanya hii kitu bila kujuaa mdhara yake ambayo ni makubwa sana,kimsingi ukavu wa k ukiwa wa asili ndio poa haya ya kufoji haya kuna siku watu wataziweka k cement oh!

shabu ni local aluminium potassium sulfate huwa inatumika kwa ajili ya kutibu maji yaani ni flocculant so it does the flocculation or coagulation activity in water treatment.

shabu hii kwasababu ya kuwa na mchanganyiko huo huwa inatabia ya kukakamaza misuli. inapokuwa applied ukeni hubana misuli ya uke na kufinya njia ya uke kwa muda. hili likifanyika uke huwa mdogo na ndipo watu husema kuwa ni mnato.

side effects zake.

kwanza aluminium husababisha alhzemer's desease
lkin pia shabu huwa ikishapitisha muda action yake hutoweka na hapo hufanya misuli ya uke kuwa kama lapu lapu vile. yaani ukitaka kuelewa ni kama vile mtu anayeweka spirit kwenye kidonda inauma sana kwa wakati ule ila baada ya muda maumivu hutoweka na eneo huweza kuwa contacted tena na vijidudu kama halijahifadhiwa vyema.
 
Nilisoma mtandao mmoja jamaa anaomba ushauri..eti kamuoa mke bikira lakini baada ya muda k ikalegea mbaya...afu baadae tena ikawa tight...anaomba ushauri...

Naona huyo alikuwa mteja wa shabu...hakuna cha bikira wala mnato. Lol.

na ndio hao ambao huona ubikira ni dili zama hizi.

kiukweli hakuwa bikra bali mtumiaji wa shabu mzuri. na ikilegeza zaid hujikuta hata mashavu yanavutika kama banzoka na breki hakuna hadi pumbu zinaigia ndani. wanawake tujikubali tulivyo kama k ni kubwa pima kwa vidole vyako viwili ukiona vinapita psi kupwaya basi jua wewe size yako ni mguu wa mtoto tafuta mwenye size hiyo atii.
 
Back
Top Bottom