Mapenzi jamani mapenziiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

Principally ipo hiv anaependa ni mmoja na huyo mwingine humuiga mwenzake na huyu ndo mwenye matatizo just fanya ka utafiti kidogo kuna familia ambayo wote wa aminifu?
 
matatizo tu , tabia tu za binaadamu, kua baadhi yao wafanye hivi, wasiwe na fikra ,wala kuchanganua athari ya kumtendea mwezanzko kitu ambacho anajua kua sio sawa,but katka mapenz sio wote wanao bahatika, pole sana,
 
Wanajamii wenzangu nisaidieni mawazo;

Mapenzi ni kitu gani?Kwanini watu wengi hushindwa kuwa waaminifu katika mapenzi????????????????????
ni kwamba hawapati wanachotaria kwa wenzi wao? au ni uroho tu? naomba michango yenu wandugu

Ni uroho tu na tamaa mbaya.
 
Ugumegume tu ndio unawasumbua,zingekuwa zinasoma kilomita kila inapotumika sijui ingekuwaje!
 
Macho huona moyo utamani mwili utenda so vyote vinashirikiana katika kuitaji vitu vipya kila wakat
 
Kuna vitu vingi mno vinavyomfanya mwanamme atoke. Ndiyo nakubali wapo ambao ni hulka kwao lakini ukichunguza vzr lazima kuna kasababu mara nyingi kiburi.
 
Mbona sababu zipo nyingi tu; 1. Migongano isiyokwisha katika mahusiano iwe ndoa/girlfriend au boyfriend 2. Tamaa inaweza kuwa ya kifedha au kimwili. Kujenga hoja kuwa mpenzi wangu hanikuni vizuri, au tamaa ya kipato zaidi hususani kama mtu amejitune akili yake kwenye uchunaji.
 
Tatizo kubwa ni tamaa cku hiz pesa ndo inaongea unakuta mtu hana mapenzi ya dhati ila kapenda pesa tu.
 
Siku ya mwiisho unardi kwa yule yule wa kwako unatulia kama siyo wewe! wanawake tuwe waangalifu sana; kuna watu wanapenda kuchovya bila sababu kisa umejirahisi kwake.

Poleni! tutawapopoa mawe subirini tu
 
utakuta lijanaume linafanya haraka haraka tu hata engine haijapata moto vizuri yeye kashaendesha chungu hakijapata moto ushaweka kitunguu unadhani nini?lazima mtu ahame jifunzeni kujua wenza wenu wanataka nini mapenzi uchafu eeh kama kumnyonya mnyonye,kama kumlamba mlambe,kumbinulia mbinulie akiondoka basi huyo dodoki
 
Naturally wanaume ni polygamist/nyumba nyingi, kinachowafanya wasipractice upolygamy ni jamii inayomzunguka, ikiwemo mafundisho ya dini. so kama mwanaume hatokuwa na hofu ya mungu na jamii inayomzunguka, mara nyingi mwanaume anarudia asili yake ambayo ni kuwa na wanawake wengi. Ukiujua ukweli huu, kama mwanamke jitahid sana kumtunza/kumcare mtu wako hadi asahau kurandaranda huko nje, mshawishi amkaribie mungu na mjenge kuwa karibu na marafiki wenye hekima pamoja na kuiheshimu jamii inayomzunguka. Mana dini na jamii ndo msingi mkubwa wa kumshape mwanaume asiwe polygamist.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom