HILI CHIMVI.....UMRI HUO
HILI CHIMVI.....UMRI HUO
Heee jamani...kwani nae hana moyo?
Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
Macho hayo...!! duh!
Mbona analia jicho moja!
BAK usiichekeshe,sasa hii Njemba nayo inalilia nini..??
Ukimwona mtu mzima analia tena chozi likitoka jicho moja, ujue ana uchungu mno.Mbona analia kwa jicho moja tu, mm nina wasiwasi kapata matokeo mazuri ya mtihani au vipimo vya mimba kukubali wakati waliokuwa wakimzushia ...........