mapenzi gharama jamani....

Mwanamke kama huyo ana nini mpaka anakuchuna kias hicho au amekupa limbwata funguka usaidiwa.
 
kimwana anaitwa Shani,mchana kanipigia simu,namuuliza uko wapi niko kinondoni,njoo basi darling,bishanga huyo nikaenda,tumekula kisha kaniomba nimsindikize dukani anataka kununua kitu.Ndo tumeingia dukani hapa TX,duka la vipodozi full vioo halina hata magrill,usiku huwa linawaka mitaa ile mbaya,kwanza kachagua brazilian hair bei laki nane,ananirembua macho bishanga nimelegea zimentoka,SH 18 suisse lotion laki imentoka,neutrogena shampoo elfu semanini zimentoka,jaaaaaasho linantoka,nasali na kuomba amalize tuondoke,na yeye ndo kwaaaaaaanza.....

Hehehehe safi sana!
 
kuna sehemu mpya inaitwa ELEMENT iko masaki,ndiko alikoishia kunipeleka usiku,ni muziki mdundo balaa,Shani anakunywa 'vishot' laki tano nimeiacha huko maana aliita marafiki zake lukuki,yaani we acha tu,sina ham nafikiria skulufiz.

Kakuona mshamba wa mjini ndio mana kakuitia hao shosti zake!......upunguzege ushamba basi Bishanga!
 
Last edited by a moderator:
Sasa unamtangazia ili iweje?.....angekuwa anafanya mashoping kama wewe walah nisingemwacha kamwe!
si ndo mana mwenzio aliamua kwenda kubeba mabox ili aongeze kipato ,huku nyuma wewe ukaamua....yaani nashikwa uchungu siwezi kuendelea....
 
kimwana anaitwa Shani,mchana kanipigia simu,namuuliza uko wapi niko kinondoni,njoo basi darling,bishanga huyo nikaenda,tumekula kisha kaniomba nimsindikize dukani anataka kununua kitu.Ndo tumeingia dukani hapa TX,duka la vipodozi full vioo halina hata magrill,usiku huwa linawaka mitaa ile mbaya,kwanza kachagua brazilian hair bei laki nane,ananirembua macho bishanga nimelegea zimentoka,SH 18 suisse lotion laki imentoka,neutrogena shampoo elfu semanini zimentoka,jaaaaaasho linantoka,nasali na kuomba amalize tuondoke,na yeye ndo kwaaaaaaanza.....
Inaonyesha Kashim6 kyake ina Memory card,bloototh,mp3 ...dimligt.
 
Unahitaji maombi au dawa ya kuondoa limbwata ndugu yangu lasivyo atakuja kukuambia umnunulie roho ya pili,sijui utaitoa wapi duuh kumbe haujui mwanamke ni kama usukani wa gari sasa we endesha hovyo afu utaona matokeo!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom