Mapenzi fake na SEX fake! Yanachosha kwel kwel...

si ndio hapo! bora umesema mwenyewe, lazima yeye afanye kweli lasivo anajua kitanzi juu!

alafu wanaume wa hehe sio wa kubipu kupata mimba. teh teh teh, ukijifanya kutoa imekula kwako hadi kaburini.

umeona eeehhh?? mazindiko yatoka enzi hayo, mi niliapa kutokuolewa na mhehe, i used kumuona dad wangu amapolala kichwani kwake kuna mkuki! basi toka hapo nilipokujaga kujua sikutaka kabisa kuolewa na mhehe. yaani ticah pale ndio ungekufa, eti kufake?! ungejua graves zikoje? ila ticah leo u hav made my day, nimependa the faking issue!
 
Bishanga yaani nahisi kama maumivu yanajirua upya.....we acha tu........yaani kumbe!.........lakini mara nyingi uwa wanaleta visingizio vya ugonjwa, mara mgongo ooh tumbo na hata stress za ofisini.......sina hata hamu

wanafanana sana tabia zao! na kujifanya ana hasira, ili tu usimguse wala kumuongelesha! hali kama hii ikitokea kunakuwa na umuhimu wa kumuona nabii TITO, huku mnapombeka, huku maombi yanasonga!
 
umeona eeehhh?? mazindiko yatoka enzi hayo, mi niliapa kutokuolewa na mhehe, i used kumuona dad wangu amapolala kichwani kwake kuna mkuki! basi toka hapo nilipokujaga kujua sikutaka kabisa kuolewa na mhehe. yaani ticah pale ndio ungekufa, eti kufake?! ungejua graves zikoje? ila ticah leo u hav made my day, nimependa the faking issue!

teh teh teh, ndio nimeileta hivo. ipo sana.
 
huu uzi umenikumbusha mbaali sana.

miaka kadhaa huko nyuma nilikuwa nimepanga chumba halafu
chumba hakina dari (dah! nimetoka mbali). siku moja usiku mpangaji mwezangu kwenye
chumba cha tatu kutoka kwangu (nyumba ilikuwa ile staili ya L) alikuja na mzigo na
nyumba zisizo na dari kama mrembo sio "silencer" inabidi majirani wasikilizie maumivu tuu.
basi siku hiyo huyo mpangaji kitu chake kilikuwa "silencer" na naamini yeye alipania kutupa
wapangaji wenzie maumivu usiku huo basi ghafla tukasikia njemba ndio
inatoa mlio "uuuuuwiiiiiiii haa haaa".
 
Duuu, hii kali, mtu kama huyo unaenda nae for sex wa nn, maadam ana enjoy company yako na hayuko so in to you, kwa nn kujifekisha, umri unaenda huo bibie utaenjoy lini sasa sex yenyewe, tafuta mpenzi unayempenda kwa roho moja
 
Back
Top Bottom